Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Hayq mkuu.Watanzania siwezi kuwapigania maana ni waoga. Lissu kala risasi na Saanane kapotezwa wao wametulia tu.
Nakutakia vita njema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayq mkuu.Watanzania siwezi kuwapigania maana ni waoga. Lissu kala risasi na Saanane kapotezwa wao wametulia tu.
Inaelekea huelewi historia ya huu mgogoro. Soma sana makala ya huu mgogoro na ukiuelewa ndio uje na option yako.Taifa teule la Mungu limeingia kwenye operesheni maalumu ya kujiongezea mipaka kule Gaza baada ya kuchokozwa.
Ni jukumu letu wana wa Yehova kwenda kuungana na uzao wetu mtakatifu kuichukua Gaza na baada ya hapo west bank.
Kuna utaratibu uliowekwa?
Je Mungu wako (Jehova) hana uwezo wa kufanya hilo hadi uende wewe?Taifa teule la Mungu limeingia kwenye operesheni maalumu ya kujiongezea mipaka kule Gaza baada ya kuchokozwa.
Ni jukumu letu wana wa Yehova kwenda kuungana na uzao wetu mtakatifu kuichukua Gaza na baada ya hapo west bank.
Kuna utaratibu uliowekwa?
🗑️🗑️🗑️Kila kitu ni Cha Mungu wetu MUNGU wa waisrael NDIO Mungu wetu MUNGU wa vyoteee
Wayahud na yesu kristo , wapi na wapi?Tumsifu Yesu Kristo Nikiwa Kama Myahudi Toka Mbeya Mjini kabwe Utaratibu kwa sasa haujawekwa wazi ngoja tusubiri muongozo toka kwa viongozi Wetu kutoka Jerusalem
That is a contradictionHiyo ni kazi yetu maana mlivamia ardhi yetu.