mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Kama nilivyokwisha kumsihi Mh.Tundu LISSU humu jukwaani, na kumtaka aiponye nafsi yake , kwani kundi la waTanzania masikini analotaka kulisaidia halina habari na Wala halijielewi.
Hizi ni baadhi ya video ambazo zina akisi uhalisia wa maisha ya Kila siku ya Watanzania masikini. Ninaposema Watanzania masikini namaanisha wote wenye kipato cha chini ya tsh. mil 3 kwa mwezi.