Nilipobold na kupigia mstari hapo..unawaambia nini walio katika mahusiano kuhusu hili swala la uzazi wa mpango?Point of correction mmoja ndio binti mwingine ni Wa kiume
Wote wako kwa mama zao kwa kuwa bado wadogo mkubwa ana miaka 4
Ninajilinda kwa kufuata njia za family planning
DJ sepetu
Ni suala zuri ila njia nzuri ni zile zisiso Na madhara makubwa ya kiafya! MF vidonge vina side effects kibaoNilipobold na kupigia mstari hapo..unawaambia nini walio katika mahusiano kuhusu hili swala la uzazi wa mpango?
Nini msimamo wako kuhusu suala la abortion?
Unaweza kuoa mmoja kati ya mama watoto wako?
Nampenda ila kuna jambo nimemtega[emoji23] [emoji23]Hhahahhahh
Ila huna malengo nae i guess..
Huyu ni jike au dume ??Kiufupi ulikuwa player?
Udom 2015Chuo gani?
Mwaka gani huo ulitekwa na mapenzi hadi ukaacha?
Key board. Mkuu.Pressure - Pleasure
tumia kiswahili bosi kuna watu watakuimba hawatojali kama kiingereza ni lugha ya pili.
Nini maana ya rungu kama unavyolitumia hapa na huko shuleni kwako?Awali ya yote niwapongeze wadada warembo wote Wa jf kwa ukarimu Na ucharming wao!
Pili niupingeze uongozi Wa jf kwa kunikubalia Ku host show zangu hapa
Nilijiita hili jina kutokana Na historia ya mwalimu wangu mmoja ambaye alikuwa akinitania"hausomi kazi kuosha rungu tu" basi nikalipenda sana
DJ sepetu
Napinga ...mbona ana mambo ya kikeNi mwanaume my dear
Leo unaoshwa na weweUdom 2015
DJ sepetu
Nitakujibu badaeNini maana ya rungu kama unavyolitumia hapa na huko shuleni kwako?
Sexual maniac, hedeterous!Not in such ila nilikuwa sijinyimi raha za warembo
DJ sepetu