Muosha rungu live interview on johanah's show!

Muosha rungu live interview on johanah's show!

Umzidi miaka 15 means unayetaka kumuoa ana miaka 10 sasa hivi?
Unafikiri kuna faida yoyote ya kumzidi miaka yote hiyo?
Faida ni nyingi sana kwanza utaendelea kupata papuchi hata ukiwa Na 70
Nafasi ya kuzaa ni kubwa
Unamuumba utakavyo kitabia
Hawezi kukusaliti kipuuzi kwa kuwa unateka roho yake

DJ sepetu
 
Faida ni nyingi sana kwanza utaendelea kupata papuchi hata ukiwa Na 70
Nafasi ya kuzaa ni kubwa
Unamuumba utakavyo kitabia
Hawezi kukusaliti kipuuzi kwa kuwa unateka roho yake

DJ sepetu
Ni kweli kabisa
Faida nyingine utaweza kumcontrol kimawazo kwasababu ni mkubwa kwake

Kipi kinachokukera hasa hasa kwa mpenzi uliye naye sasa?
 
Unaishi nao ama wapo na mama zao?
Tangu hapo hukuwahi kupata wengine au unajikinga vipi kutopata wengine?

Ni changamoto zipi unakutana nazo katika malezi ya hawa mabinti
Point of correction mmoja ndio binti mwingine ni Wa kiume
Wote wako kwa mama zao kwa kuwa bado wadogo mkubwa ana miaka 4
Ninajilinda kwa kufuata njia za family planning

DJ sepetu
 
Binafsi napenda kudeka

Umemtaja wema sepetu kama mwanamke mrembo kwako na tunajua umbo la sepetu lilivyo
Kwa ninavyowajua waarabu wana 'pasi' huku nyuma,what's so good about huyo muarabu?hadi uko naye sasa
Hahahaa she is a mixture of nyaturu Na Arab
Kwa hiyo chura sipati Picha kama ninge post hapa ingekuwaje

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom