Muosha rungu live interview on johanah's show!

Muosha rungu live interview on johanah's show!

Udom??duh
Upi ni ufahari wako hadi hapo ulipo kama kijana wa 25?(mfano mimi nikifikisha 25 nikiwa tayari nimekamilisha kitu fulani nitakuwa proud kidogo)
Mbona unashanga[emoji23] [emoji23]
Ufahari wangu bado Sana itoshe tu kusema nikijana ambaye siwezi omba million!

DJ sepetu
 
Mbona unashanga[emoji23] [emoji23]
Ufahari wangu bado Sana itoshe tu kusema nikijana ambaye siwezi omba million!

DJ sepetu
Hhahhh nmeshangaa for nothing eti
Huwezi omba million kwamba huna shida ndogo kama ya million?

Your role model?
 
Hhahhh nmeshangaa for nothing eti
Huwezi omba million kwamba huna shida ndogo kama ya million?

Your role model?
Yes !
Bongo ni DJ majizo ,salim kikeke and prof asha rose migiro
Out ni Steve job, DJ khalid

DJ sepetu
 
Yes !
Bongo ni DJ majizo ,salim kikeke and prof asha rose migiro
Out ni Steve job, DJ khalid

DJ sepetu
Kumbe majizzo nae ni DJ?naanza kumpenda kuanzia leo aseee

Kuna swali sijaona jibu lake baby muosha rungu
 
Napenda kukaa ndani peke yangu Na kusoma vitabu kuangalia xxx if ni night[emoji12] [emoji12]

DJ sepetu
Vitabu vya aina gani unavipendelea?

Hizo XXX unaangalia ukiwa na huyo mpenzi muarabu ama peke yako?
Baada ya kumaliza kuangalia unafanya nini?

Wewe ni shabiki wa team gani ya mpira hapa TZ na nje?
 
Back
Top Bottom