Muosha rungu live interview on johanah's show!

Ok poa kiongozi..

Swali; Wewe kama kijana unawasaidiaje vijana wenzako kujikwamua katika hali ngumu ya maisha... au ndio kila mtu afe kivyake?
Kupitia music Na kilimo Na madini nawasaidia kwa ajira za hapa Na pale ingawa nyingi ni short term
Pia ninawezesha kiibua vipaji hasa vya uigizaji Na sanaa zingine mashuleni
Kidogo Ila kadiri ya umri wangu si haba

DJ sepetu
 
Hongera mkuu
 
Back
Top Bottom