Muosha rungu live interview on johanah's show!

Habari za weekend wanaJF

Hatimaye leo tupo na mkuu/handsome wetu muosha rungu ambaye wengi tunamfahamu kwa ufanisi wake wa kutufanyia interview hususani sisi wanawake,nadhani baadhi yetu pia tunatamani kufahamu machache kumuhusu....

Kwa niaba ya wanawake naomba kumuhost
Baby sitasahau hii uliniweza!
 
Habari za weekend wanaJF

Hatimaye leo tupo na mkuu/handsome wetu muosha rungu ambaye wengi tunamfahamu kwa ufanisi wake wa kutufanyia interview hususani sisi wanawake,nadhani baadhi yetu pia tunatamani kufahamu machache kumuhusu....

Kwa niaba ya wanawake naomba kumuhost
hongera Joh', unajua kuhost show. Hadi nimetamani.
 
DJ Sepetu Siamini interview zina matunda yake bana??? Ndo naona huuu uzi na kurefer moja ya swali lako kwenye interview yako na Davet??

Aiseeeehhhhh!![emoji15] [emoji15] [emoji15] wee noumaaa [emoji106] [emoji106]

Cc Smart911
 
Habari za weekend wanaJF

Hatimaye leo tupo na mkuu/handsome wetu muosha rungu ambaye wengi tunamfahamu kwa ufanisi wake wa kutufanyia interview hususani sisi wanawake,nadhani baadhi yetu pia tunatamani kufahamu machache kumuhusu....

Kwa niaba ya wanawake naomba kumuhost
Asee
 
Back
Top Bottom