moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 7,976
- 16,769
kati ya hao mababe mama wako wawili, je kuna mmoja ambaye utatamani kumuoaLipi baby
DJ sepetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kati ya hao mababe mama wako wawili, je kuna mmoja ambaye utatamani kumuoaLipi baby
DJ sepetu
Nawashukuru sana sana labda niseme mno kwakati ya hao mababe mama wako wawili, je kuna mmoja ambaye utatamani kumuoa
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa mkuu endelea tu kuosha rungu lakoNawashukuru sana sana labda niseme mno kwa
Kwanza kuonyesha upendo Na ukarimu Wa hali ya juu kwa kutofikilia kutoa mimba
Pili kwa kukatisha masomo yao Na kukubali kulea mimba kwa miezi Tisa
Tatu kwa kuendelea kuonyesha mapenzi Na mm japo sijawaoa Na bado huhakikisha kuwa Nina mahusiano mazuri Na watoto
Mwisho kwa malezi mazuri mmoja ni nesi mwingine ni banker
Pamoja Na yote watabaki kuwa wazazi wenzangu sio mke
DJ sepetu
No problema[emoji12] [emoji12]
anaosha rungu au anaoshwa tigo yake huyo? wanaume woote humu ndani hatuko kama yeye anayeongea mambo kama demu. pelekeni umbeya wenu huko. si ukute mko naye salon huyo jamaa anaosha kucha kama ninyi.Habari za weekend wanaJF
Hatimaye leo tupo na mkuu/handsome wetu muosha rungu ambaye wengi tunamfahamu kwa ufanisi wake wa kutufanyia interview hususani sisi wanawake,nadhani baadhi yetu pia tunatamani kufahamu machache kumuhusu....
Kwa niaba ya wanawake naomba kumuhost
Umenichekesha chalii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]anaosha rungu au anaoshwa tigo yake huyo? wanaume woote humu ndani hatuko kama yeye anayeongea mambo kama demu. pelekeni umbeya wenu huko. si ukute mko naye salon huyo jamaa anaosha kucha kama ninyi.
Mbona hasira ivo, wenzio tume enjoy huu uzianaosha rungu au anaoshwa tigo yake huyo? wanaume woote humu ndani hatuko kama yeye anayeongea mambo kama demu. pelekeni umbeya wenu huko. si ukute mko naye salon huyo jamaa anaosha kucha kama ninyi.
Mwambieee[emoji23] [emoji23]
Kam ulipita jkt as u claim, lazima utakua unafahamu doso ni niniSijakuelewa
DJ sepetu
Vimawani wacha weee
Kuna mtu kasema upo ban nikambishia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo muosha rungu upo kikaangoni. Safi
Uliniangusha
Teh..mi mtoto mzuri siwezi pata banKuna mtu kasema upo ban nikambishia
DJ sepetu
Fanya mambo yako mkuu..kwani lazima ufanane na yeye?anaosha rungu au anaoshwa tigo yake huyo? wanaume woote humu ndani hatuko kama yeye anayeongea mambo kama demu. pelekeni umbeya wenu huko. si ukute mko naye salon huyo jamaa anaosha kucha kama ninyi.
Yes saa nne tunaye bibie mumuMuosha rungu interview zako bado zinasonga mkuu