Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Kama amesema atamfukuza Ngasa as an individual hapo sawa naweza kuhoji mamlaka ameyatoa wapi otherwise kama amesema kwa niaba ya taasisi yupo rightHujamuelewa Muro wewe!! Amesema atamfukuza Ngasa!.. yaani yeye kama yeye wala hajatumwa kutoa tamko hilo