chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,559
we muache dawa yake bado ipo jikoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] basi sawa Ila mwambie aache kuropoka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaah ndugu yangu asa uko umifika mbal eb tulia kwanza
Klabu ya Yanga kupitia kwa mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano Jerry Muro, wamesema wako tayari kuisaidia Simba kulipa deni la Musoti ili klabu hiyo ya Msimbazi isishushwe daraja.
Muro amsema, wako tayari kuichangia Simba kulipa deni lao linalowakabili ili FIFA isiishushe daraja na wao wakakosa pointi sita katika msimu ujao wa VPL.
“Tunaomba watuletee barua na karatasi za malipo za yule mchezaji ili sisi tu-process malipo kwa sababu tuliahidi tukifika hatua ya makundi ya michuano ya Afrika tutawasaidia kulipa deni lao. Sisi hatukubali Simba ishushwe daraja kwasababu pale tunapointi sita za wazi kwenye msimu ujao wa ligi”.
“Sasa kwanini tukose pointi sita ambazo tunaweza tukazitetea zikabaki. Inaweza ikashuka Simba halafu ikapanda timu ya Milambo ya Tabora halafu ikatusumbua sana, sisi tunazihitaji ponti sita za Simba na tulisema tukifika hatua ya makundin tutawalipia”.
“Ili tuweze kufanya transaction na kwakua hela hii inalipwa kupitia FIFA, tutawaandikia CAF barua ya kufanya malipo kwenda FIFA ili kuisaidia Simba isishuke daraja. Mhasibu wetu anasubiri karatasi za malipo na kwakua malipo yanafanyika kwa dollar, tutawaandikia CAF watoe kiasi cha pesa kwenda FIFA kwa ajili ya kuwasaidia ndugu zetu”.
Simba imeelezwa kupuuza kumlipa mchezaji Donald Musoti Omanua kwa wakati tangu mkataba wake uvunjwe. Musoto aliyesajiliwa na Simba msimu wa 2014/15 na kuachwa alilalamika FIFA ambayo iliona ana hoja na hivyo Simba kutakiwa kumlipa dola 29,250 (sawa na Sh 62.8 milioni) na kiasi kingine anachodai ni Dola 600 (Sh 1,290,000) zilizobaki katika usajili ambapo jumla yake ni Sh 64.2 milioni. Pia Mosoti anamlipa Mwanasheria wake dola 2,000 (Sh 4.3 milioni) kwa ajili ya kusimamia kesi hiyo.
Mbumbumbu fc lazima mzaraurikeeeSubiri tunamwangalia tu huyu muro cha moto atakiona.Simba kwanini tunaruhusu dharau kama hizi lakini?
...kwa kuingia tu hatua ya makundi wana uhakika wa kupata milioni 320 km watakuwa wa mwisho kwenye kundi, milioni 513 km watakamata nafasi ya tatu!, wacha watutukane tu,mpk yale matapeli yetu yaondoke pale msimbazi!Wanalamba shilingi ngapi?
Sisi ndio tulikuwa wa kwanza kula fedha za CAF 1998 miaka mitano baaadaye mwaka 2003 ndipo mlipojitutumua na kula fedha mara moja na mwisho hadi leo. Acha ushamba! Leteni makaratasi (invoices) tuwalipie deni lenu mbaki ligi kuu ili mwaka kesho tujichukulie pointi zetu 6.Kipofu kaona mwezi! Haya matusi si tabia ya timu kubwa ya Simba. Endeleeni kutukana maana mnaonja ladha ya fedha za CAF.
Hizi dharau zitaendelea kuwa juu yenu hadi hapo mtakapobadilisha viongozi. Kwa hawa waliopo jina la Simba litaendelea kupigwa vijembe na kejeli za kutosha.Subiri tunamwangalia tu huyu muro cha moto atakiona.Simba kwanini tunaruhusu dharau kama hizi lakini?
... pamoja na kufanya vizuri kwa Yanga.Muro naona anasafiria nyota ya Simba kufanya vibaya! Hongera zake.