Musa Venerable Mziba hajapatikana. Polisi waombwa msaada

RIP ila ingekuwa mumewashtukia wange toka vyombo vya habari kuwa walikuwa kwenye majukumu.

Kama mpaka leo ni wanafanyia uchunguzi.
Tuendelee kusoma kitabu cha erick kabendera
 
Huyu naona alingia kwenye 18 za watu....
Ila nliulizaga humu jamaa alikuwa anafanya mishe gani sijajibiwa

Ova
Au ni jina la kubuni......maana hawezi kuwandikwa mtu asijulikane kwenye jukwa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…