Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,952
Na bado.......more to come
Siasa za Kenya kama movie za Kutisha.................Msije shangaa Uhuru anam-support Raila!!!!!!!!!!!!!
Raila kushinda sio rahisi kihivyo.
Kwa mujibu wa takwimu,kuelekea uchaguzi ujao Kenya inawapiga kura 12.3 Million,na katika hao 5.4 Million sawa na 44% ya wapiga kura ni wa Mkoa wa Kati na Bonde la Ufa,ngome za Uhuru na Ruto.Hivyo Jubilee wakipata huko ata 80% tu za kura huko watahitaji kupata 27% tu ya kura za maeneo mengine ili kuvuka 50% za kura na kuchukua ushindi kwenye round ya kwanza.
Yes, Raila ana umaarufu mkubwa lakini namba za wapiga kura zipo upande wa akina Uhuru.
kwa hv sasa, tumejua asili ya mtoa mada Nairoberry, baada ya musalia kuwa mashakani, ameingia mitini.... .....Ila wewe and Co. musijiingize kwenye CORD kwa maana chama chenu kitataifishwa na kufutwa kwenye ramani Lol.
Absolutely nothing mkuu from masalia:smile:Afterall jamaa anaitwa Masalia unategemea nini toka hapo???:glasses-nerdy:
Bcoz i disagree with Uhuru's decision...!!!
TNA supporters are in deep pain...!!!
I am Tanzanian, but Uhuru looks of more digital age while Mudavadi is analog....!!!
Uhuru knows what he speaks, anajua watu wa Kenya wanataka nini..!! Wakenya leo ni siku mbaya kwao...!!
... still confirming....!!!
period..!!
Acha tu yaani ila taratibu ndo mwendo...............
Ngoja tusubiri IGP kesho kama wabunge watampisha David Kimaiyo
Mbona Kimaiyo hana uniform? Minongono kibao maana anavaa kaunda suti ahahahah
with this new pact with uhuru and ruto who command the largest voting blocks in kenya it will be hard to stop mudavadi sailing to the top. unfortunately raila and kalonzo numbers are inferior bearing in mind kenya votes on tribal grounds.
sina wasiwasi jubilee itashinda mwisho wa sikuwhat pact? Poor Mudavadi was given a bounced check. Now he seeks coalition with Wamwala. Every thing constant Raila sailing pretty well steto!
Nimesoma mahali kuwa kuna jamaa wameanza kuandaa na kunoa mapanga,wanadamu hatujifunza tunauana wenyewe kwa wenyewe kwa manufaa ya viongozi wachache ambao shida zetu wala hawazijui,sioni kwa nini Mluhya,Mjaluo ,Mkikuyu,Mkale wawe na uhasama kwa sababu ya hao masultani wa kikabila,leo kaibuka mwingine kwa jina la MuDVD na Wamalwa ,wanadai safari ii lazima watu wa kabila lao waungane ili raisi atoke huko,je hao milioni 2,4 wakimchagua ndio atawapa sembe hao wote au itakuwa kwa wateule wachache wanaomsifia kuwa kavaa suti nzuri ilihali yu uchi,wandugu nilikuwa Nakuru ule wakati wa machafuko ,sikutegemea tena wananchi na wanasiasa wangeanza tena kurudi kulekule,je bado mnategemea tena Annan na Mkapa waje kuwafundisha jinsi ya kuishi pamojaMudavadi seems to have lost direction kwa sasa,sijui ilikuwa Vipi aliwaamini wale two play boys kwa kweli,pale Ndio nilimuona ni kubwa J tu nae Ngoja tuwaachie wakenya wenye we waje watoe uamuzi,mashaka yangu nahic watadundana tena.......
Nikweli kabisa mkuu sisi wanadamu hatujifunzi,from the way Hawa wanasiasa walivyopania Nadhani vita itakuwepo tena na hata wakina Annan na kina Mkapa wakafike Huko damu zinakuwa zimeshamwagika naumia sana ninavyoona wasiasa Hawa wanavokuwa wagumu hivi ila ni sababu familia zao haziguswi hivi sasa wengi wameshapeleka ulaya familia hata machafuko yakija hawaguswi so so sad,ni naomba tu Mungu inchi yangu TZ tusifike Huko maana dhambi ya ukabila ni ngumu kutubu....Nimesoma mahali kuwa kuna jamaa wameanza kuandaa na kunoa mapanga,wanadamu hatujifunza tunauana wenyewe kwa wenyewe kwa manufaa ya viongozi wachache ambao shida zetu wala hawazijui,sioni kwa nini Mluhya,Mjaluo ,Mkikuyu,Mkale wawe na uhasama kwa sababu ya hao masultani wa kikabila,leo kaibuka mwingine kwa jina la MuDVD na Wamalwa ,wanadai safari ii lazima watu wa kabila lao waungane ili raisi atoke huko,je hao milioni 2,4 wakimchagua ndio atawapa sembe hao wote au itakuwa kwa wateule wachache wanaomsifia kuwa kavaa suti nzuri ilihali yu uchi,wandugu nilikuwa Nakuru ule wakati wa machafuko ,sikutegemea tena wananchi na wanasiasa wangeanza tena kurudi kulekule,je bado mnategemea tena Annan na Mkapa waje kuwafundisha jinsi ya kuishi pamoja
Dhambi ya ukabila ni sawa na dhambi ya Udini,hapa bongo nasi tuna mshikemshike wa UDINI wanasiasa wetu ambao wamefilisika kisiasa wameanzia kutumia jukwaa la udini kufikia malengo yao,wamesahau yaliyotokea Bosnia,LebanonNikweli kabisa mkuu sisi wanadamu hatujifunzi,from the way Hawa wanasiasa walivyopania Nadhani vita itakuwepo tena na hata wakina Annan na kina Mkapa wakafike Huko damu zinakuwa zimeshamwagika naumia sana ninavyoona wasiasa Hawa wanavokuwa wagumu hivi ila ni sababu familia zao haziguswi hivi sasa wengi wameshapeleka ulaya familia hata machafuko yakija hawaguswi so so sad,ni naomba tu Mungu inchi yangu TZ tusifike Huko maana dhambi ya ukabila ni ngumu kutubu....
Nikweli Hii nayo inatunyemelea pole pole lakini kwa uhakika and our politicians are the ones inciting this Kama vile hawajui madhara yake,washinndwe na walegee kabisa sisi hatutaki kufika Huko lol.Dhambi ya ukabila ni sawa na dhambi ya Udini,hapa bongo nasi tuna mshikemshike wa UDINI wanasiasa wetu ambao wamefilisika kisiasa wameanzia kutumia jukwaa la udini kufikia malengo yao,wamesahau yaliyotokea Bosnia,Lebanon