Musalia Mudavadi most likely Kenya's next President?

Musalia Mudavadi most likely Kenya's next President?

Na bado.......more to come
Siasa za Kenya kama movie za Kutisha.................Msije shangaa Uhuru anam-support Raila!!!!!!!!!!!!!

hapo kwenye RED. Hiyo haiwezi kutokea, ila natarajia Martha Karua kufanya hivyo soon or later.
 
Raila kushinda sio rahisi kihivyo.

Kwa mujibu wa takwimu,kuelekea uchaguzi ujao Kenya inawapiga kura 12.3 Million,na katika hao 5.4 Million sawa na 44% ya wapiga kura ni wa Mkoa wa Kati na Bonde la Ufa,ngome za Uhuru na Ruto.Hivyo Jubilee wakipata huko ata 80% tu za kura huko watahitaji kupata 27% tu ya kura za maeneo mengine ili kuvuka 50% za kura na kuchukua ushindi kwenye round ya kwanza.

Yes, Raila ana umaarufu mkubwa lakini namba za wapiga kura zipo upande wa akina Uhuru.

Butola, UK na Ruto wataingia kwenye uchaguzi wakiwa wamesambaratika. Unasahau kuwa kuna Wakalenjin watakaomuunga mkono Raila (mwenyekiti wa ODM ni Mkalenjin na sidhani kuwa jamaa ni mjinga kiasi hicho cha kukataa kuungana na Ruto dhidi ya Raila kama haoni uwezekano wa Raila kushinda).
 
kwa hv sasa, tumejua asili ya mtoa mada Nairoberry, baada ya musalia kuwa mashakani, ameingia mitini.... .....Ila wewe and Co. musijiingize kwenye CORD kwa maana chama chenu kitataifishwa na kufutwa kwenye ramani Lol.
 
Last edited by a moderator:
kwa hv sasa, tumejua asili ya mtoa mada Nairoberry, baada ya musalia kuwa mashakani, ameingia mitini.... .....Ila wewe and Co. musijiingize kwenye CORD kwa maana chama chenu kitataifishwa na kufutwa kwenye ramani Lol.

Afterall jamaa anaitwa Masalia unategemea nini toka hapo???:glasses-nerdy:
 
Bcoz i disagree with Uhuru's decision...!!!

TNA supporters are in deep pain...!!!

I am Tanzanian, but Uhuru looks of more digital age while Mudavadi is analog....!!!

Uhuru knows what he speaks, anajua watu wa Kenya wanataka nini..!! Wakenya leo ni siku mbaya kwao...!!

... still confirming....!!!

period..!!

I was shocked that you were shocked. Uhuru is that kind of politician who thinks he is the Landlord and everybody else is a tenant. I must disagree with you that he knows what Kenyans want. Have you read their manifesto? Very vague. No details. I am a Kenyan and i will not vote for any of this clowns. If digital and analog is the criteria then i rest my case.
 
In my view if we have to square out coalitions with the manifestos they have, then we absolutely have been brainwashed by these politicians and we do not have a clue of what we want for this nation as Kenyans. I think we should now have been matured as Kenyans and jump out from loudly shouting the ICC fault-line.

Having said that, It is unfortunate what the person of uhuru does and percived as a mistake is simply pegged on the general characterization of the Kikuyu community, while the mistakes that raila does are simply related to human nature and not the fault of the luo in general. This is in response to Ab-teachers inference, that you cannot deal with a Kikuyu, which is a very wrong perception.
what is left for the mudavadi campaigns is simple, he can enter his way into CORD to build a contemptuous bid, be muted, decide to lay low eat humble pie.
 
Mbona Kimaiyo hana uniform? Minongono kibao maana anavaa kaunda suti ahahahah

Wewe Ben wewe Kimaiyo ni CID atavaaje uniform.........................naona uko nyuma ya wakati kachakuwa IGP na ameshapitishwa na bunge na alishaapishwa kitaambooo
 
with this new pact with uhuru and ruto who command the largest voting blocks in kenya it will be hard to stop mudavadi sailing to the top. unfortunately raila and kalonzo numbers are inferior bearing in mind kenya votes on tribal grounds.

what pact? Poor Mudavadi was given a bounced check. Now he seeks coalition with Wamwala. Every thing constant Raila sailing pretty well steto!
 
under the nomination of UDF PARTY TODAY,,
This man sounds like a preisdent to be,,

KENYANS WONT REGRET THEIR VOTES IF THEY CAN GIVE HIM A CHANCE,,
 
MuDVD anategemea kura 2.4 za wana Mulembe,Kenya ukabila hautaisha kila mtu anadai anawakilisha watu wa kabila lake,pia Wamwala anadaia sasa ni wakati wa wana Mulembe,na kamuunga mkono MuDVD si sabau ndie bora kuliko wengine bali sababu ni kabila lake,Wamwala alianza na akina Uhuru,akahop kwenda kwa Jirongo,huku akaruka sarakasi akaenda kwa akina Tuju,hapo akapiga tik taka(bicycle kik) hata ile ya Rooney haifikii,na hao ndio viongozi wa Kenya.ngoja niwasikia na wengine.Halafu kila mtu analaumu machafuko ya 2007 na wakati hao hao wote ndio walikuwa viongozi na wanufaika ndio maana wakawa Ma DPMs ,PM,Presidaa.
Haa naona kura za akina Kabaridi huko Western zinazidi kupotea.Pia naona Tessi anaota kuwa mkazi wa Kilimani
 
Mudavadi seems to have lost direction kwa sasa,sijui ilikuwa Vipi aliwaamini wale two play boys kwa kweli,pale Ndio nilimuona ni kubwa J tu nae Ngoja tuwaachie wakenya wenye we waje watoe uamuzi,mashaka yangu nahic watadundana tena.......
 
Nimesoma mahali kuwa kuna jamaa wameanza kuandaa na kunoa mapanga,wanadamu hatujifunza tunauana wenyewe kwa wenyewe kwa manufaa ya viongozi wachache ambao shida zetu wala hawazijui,sioni kwa nini Mluhya,Mjaluo ,Mkikuyu,Mkale wawe na uhasama kwa sababu ya hao masultani wa kikabila,leo kaibuka mwingine kwa jina la MuDVD na Wamalwa ,wanadai safari ii lazima watu wa kabila lao waungane ili raisi atoke huko,je hao milioni 2,4 wakimchagua ndio atawapa sembe hao wote au itakuwa kwa wateule wachache wanaomsifia kuwa kavaa suti nzuri ilihali yu uchi,wandugu nilikuwa Nakuru ule wakati wa machafuko ,sikutegemea tena wananchi na wanasiasa wangeanza tena kurudi kulekule,je bado mnategemea tena Annan na Mkapa waje kuwafundisha jinsi ya kuishi pamoja
 
Huyu MuDVD alipotea njia kujiunga na Uhuru, sasa hajachelewa arudi kwa ODM watamfikiria
 
Nimesoma mahali kuwa kuna jamaa wameanza kuandaa na kunoa mapanga,wanadamu hatujifunza tunauana wenyewe kwa wenyewe kwa manufaa ya viongozi wachache ambao shida zetu wala hawazijui,sioni kwa nini Mluhya,Mjaluo ,Mkikuyu,Mkale wawe na uhasama kwa sababu ya hao masultani wa kikabila,leo kaibuka mwingine kwa jina la MuDVD na Wamalwa ,wanadai safari ii lazima watu wa kabila lao waungane ili raisi atoke huko,je hao milioni 2,4 wakimchagua ndio atawapa sembe hao wote au itakuwa kwa wateule wachache wanaomsifia kuwa kavaa suti nzuri ilihali yu uchi,wandugu nilikuwa Nakuru ule wakati wa machafuko ,sikutegemea tena wananchi na wanasiasa wangeanza tena kurudi kulekule,je bado mnategemea tena Annan na Mkapa waje kuwafundisha jinsi ya kuishi pamoja
Nikweli kabisa mkuu sisi wanadamu hatujifunzi,from the way Hawa wanasiasa walivyopania Nadhani vita itakuwepo tena na hata wakina Annan na kina Mkapa wakafike Huko damu zinakuwa zimeshamwagika naumia sana ninavyoona wasiasa Hawa wanavokuwa wagumu hivi ila ni sababu familia zao haziguswi hivi sasa wengi wameshapeleka ulaya familia hata machafuko yakija hawaguswi so so sad,ni naomba tu Mungu inchi yangu TZ tusifike Huko maana dhambi ya ukabila ni ngumu kutubu....
 
Dhambi ya ukabila ni sawa na dhambi ya Udini,hapa bongo nasi tuna mshikemshike wa UDINI wanasiasa wetu ambao wamefilisika kisiasa wameanzia kutumia jukwaa la udini kufikia malengo yao,wamesahau yaliyotokea Bosnia,Lebanon
 
Nikweli Hii nayo inatunyemelea pole pole lakini kwa uhakika and our politicians are the ones inciting this Kama vile hawajui madhara yake,washinndwe na walegee kabisa sisi hatutaki kufika Huko lol.
 
Back
Top Bottom