Tofauti na Mudavadi ,Uhuru kapigana hadi kufikia hapo alipo,na Uhuru yu tofauti na watoto wa vizito wengine/maraisi wengine ambao baba zao huwabeba yeye anajibeba mwenyewe ni kama vile RAO,tatizo linalomukabili Uhuru ni ukabila na kabila lake na wale wazee wenye nchi(Mt Kenya mafia)hao ndio wanahofia majani ya chai na maua kupigwa ban,kwa ufupi wanajijali wao na si wananchi wa Kenya.Kwa Mudavadi ni aibu aliingizwa mukenge na hao MT Kenya mafia kuwa atoke ODM na atapewa uraisi mezani(wengi walisema Mudavadi ni project kutoka ikulu ya Mwai)alipokuwa ODM alitaka uchaguzi wa haki kutoka mashinani,sasa huko kwenye Jubilee hataki uchaguzi anaona ana haki ya kupewa ushindi wa mezani,hapana kwa hilo Mudavadi na Waluhya wenzake wamenoa,aende kwa debe,tena Uhuru yuko fair sana Mudavadi anataka kulia kivulini wakati wenzake wametoa jasho,watu walisema tamaa ilimponza fisi Mudavadi angebaki ODM angeambulia hata umakamu kuliko hivi sasa ambapo yupo njia panda
Jana wakati naangalia taarifa nicheka mpaka nkachoka nlipomuona MM akilalamika kua aliahidiwa kuachiwa nafasi ya kugombea na kudai kua makubaliano yamekiukwa kwa kulipeleka suala hilo kwa kwa wanachama kuamua. MM huyuhuyu alisema kua ODM haina democrasia leo huyu huyu anakataa democrasia. Safari yake kisiasa inaweza kuishia hapa asipoangalia.