Musalia Mudavadi most likely Kenya's next President?

Musalia Mudavadi most likely Kenya's next President?

Tofauti na Mudavadi ,Uhuru kapigana hadi kufikia hapo alipo,na Uhuru yu tofauti na watoto wa vizito wengine/maraisi wengine ambao baba zao huwabeba yeye anajibeba mwenyewe ni kama vile RAO,tatizo linalomukabili Uhuru ni ukabila na kabila lake na wale wazee wenye nchi(Mt Kenya mafia)hao ndio wanahofia majani ya chai na maua kupigwa ban,kwa ufupi wanajijali wao na si wananchi wa Kenya.Kwa Mudavadi ni aibu aliingizwa mukenge na hao MT Kenya mafia kuwa atoke ODM na atapewa uraisi mezani(wengi walisema Mudavadi ni project kutoka ikulu ya Mwai)alipokuwa ODM alitaka uchaguzi wa haki kutoka mashinani,sasa huko kwenye Jubilee hataki uchaguzi anaona ana haki ya kupewa ushindi wa mezani,hapana kwa hilo Mudavadi na Waluhya wenzake wamenoa,aende kwa debe,tena Uhuru yuko fair sana Mudavadi anataka kulia kivulini wakati wenzake wametoa jasho,watu walisema tamaa ilimponza fisi Mudavadi angebaki ODM angeambulia hata umakamu kuliko hivi sasa ambapo yupo njia panda

Jana wakati naangalia taarifa nicheka mpaka nkachoka nlipomuona MM akilalamika kua aliahidiwa kuachiwa nafasi ya kugombea na kudai kua makubaliano yamekiukwa kwa kulipeleka suala hilo kwa kwa wanachama kuamua. MM huyuhuyu alisema kua ODM haina democrasia leo huyu huyu anakataa democrasia. Safari yake kisiasa inaweza kuishia hapa asipoangalia.
 
Unprecedent Mudavadi says , No aid monies for Kenya, Kenya would not sell Tea abroad and Kenya is not ready for another Kikuyu precidency. Hardtalk to say the least.
 
Unprecedent Mudavadi says , No aid monies for Kenya, Kenya would not sell Tea abroad and Kenya is not ready for another Kikuyu precidency. Hardtalk to say the least.

Wewe simplemind umeanza ukabila tena hapa ha ha ha wakenya wataamua wampe nani kura zao hapo 4 March 2013
 
Last edited by a moderator:
Hawa watu watauana this time, maana mpaka leo wanaailisha kikao cha kuchangua nani abebe bendera ya Jubilee....
 
Unprecedent Mudavadi says , No aid monies for Kenya, Kenya would not sell Tea abroad and Kenya is not ready for another Kikuyu precidency. Hardtalk to say the least.
simplemind you dont want to hear about Kikuyu again?? ha ha ha
 
Last edited by a moderator:
Njia ni nyeupe sasa kwa 'RaO'!
 
Unprecedent Mudavadi says , No aid monies for Kenya, Kenya would not sell Tea abroad and Kenya is not ready for another Kikuyu precidency. Hardtalk to say the least.

Jubilee for my opinion Kenyata 15yrs (Kikuyu), Moi 24yrs (Kalenjini), Kibaki 10yrs (Kikuyu)

That Jubilee is Kikuyu + Kalenjini = 49 almost Jubilee of 50yrs of ruling Kenya (Uhuru + Ruto)

Means no more Kikuyu and Kalenjini kazi kweli kweli Kenya mnayo
 
Hawa watu watauana this time, maana mpaka leo wanaailisha kikao cha kuchangua nani abebe bendera ya Jubilee....

Acha tu yaani ila taratibu ndo mwendo...............

Ngoja tusubiri IGP kesho kama wabunge watampisha David Kimaiyo
 
Duh hii kali ngoja nimsubiri mzee wa nondo za Kenya Ab-Titchaz amwage vitu vyake.
 
Last edited by a moderator:
Uhuru Kenyata naona kama bado hajatulia, coz Mwanzo alitaka kusign na Raila ikashindikana sasa wako na Mudavadi sijui kama kitaeleweka. Ila for sure uchaguzi utakuwa mkali sana mwakani. But Uhuru asahau kuwa Rais wa Kenya
 
Ha ha ha ha eti hajatulia wewe ndenga nimechekaje mie
 
Last edited by a moderator:
Acha tu yaani ila taratibu ndo mwendo...............

Ngoja tusubiri IGP kesho kama wabunge watampisha David Kimaiyo
Yule IGP aliyeshinda interview? nilipenda sana Mdada mmoja alikuwa anajibu vizuri sana maswali....
 
Back
Top Bottom