ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Muungano wa vyama vinavyo unda kundi la AMANI chini ya Mutharia Mudavadi aliyekuwa mshindi wa tatu wameamua kujiunga na umoja wa JUBILEE wa rais mteule Uhuru Kenyatta na kuwa turufu kwa jubilee kama mahakama itaamua uchaguzi kurudiwa.chanzo Citizen Tv
Jaribu kuisoma vizuri hiyo taarifa ili upate uhalisia wa habari yenyewe. Walioungana na Uhuru ni AMANI au ni Mudavadi as a person?
This is what I was talking about yesterday.
cc my web