Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,490
- 7,422
Hapo ni kweli lazima kuna tatizo sehemu angalia kwa mfano sifa za luten jeneral mstaafu wa jw mwakibolwa operation alizoendesha hasa hii ya m-23
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Itakuwa huyo meja jenerali hana mahusiano mazuri au hana bahati maana kama ana miaka 28 halafu huyo mtoto wa kaguta ana 24 na huyo meja jenerali amefanya operations nyingi na kwa mafanikio basi kuna tatizo mahali
Rtd Lt Gen Mwakibolwa alikuwa vizuri sana na kingine ni afisa wa mizinga yule tofauti na COS wengi ambao mostly lazima watokee Infantry, kwa hiyo kuwa mtu wa mizinga kulimbeba pia
Huku kwetu ceiling ni cheo cha meja jenerali sababu vyeo vya Lt gen na Gen viko reserved kwa ajili ya muundo wa kimadaraka.