GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 19,913
Halafu hawa wanajuana bwanaLabda ile operation ya kumpiga Bob wine na wafuasi wake ndio aliyoitekeleza kwa ustadi,nje ya hapo hamna OP ya maana amefanya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu hawa wanajuana bwanaLabda ile operation ya kumpiga Bob wine na wafuasi wake ndio aliyoitekeleza kwa ustadi,nje ya hapo hamna OP ya maana amefanya.
Kwenye huu uzi naona mmeshikilia kuwa Museveni amembeba mwanawe bila kuzingatia elimu ya kijeshi au nathubutu pia kusema kuna vyeo vingine mtu anaweza kuvipata kulingana na muda na elimu yake kijeshi. Sio Museveni tu kambeba mwanawe lakini pia elimu ya kijeshi imembeba. Je kati yenu mnaosema kuwa Museveni kambeba mwanawe kuna anaejua kuwa kuna elimu ya kijeshi?View attachment 1018621
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Kwanini muda Mwingi awe mafunzoni?Kwenye huu uzi naona mmeshikilia kuwa Museveni amembeba mwanawe bila kuzingatia elimu ya kijeshi au nathubutu pia kusema kuna vyeo vingine mtu anaweza kuvipata kulingana na muda na elimu yake kijeshi. Sio Museveni tu kambeba mwanawe lakini pia elimu ya kijeshi imembeba. Je kati yenu mnaosema kuwa Museveni kambeba mwanawe kuna anaejua kuwa kuna elimu ya kijeshi?View attachment 1018621
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
1994 kachelewa sana kupata hicho cheo ukizingatia ana mafunzo makubwa pia elimu anayo
Basi ndani ya miaka mitatu Muhozi Kainerugaba anakuwa Jenerali. It is my prediction.Kinachofuata ni cha mwisho ambacho ni jenerali
Brigedia jenerali ni cheo cha ngapi kutoka juu?Itakuwa huyo meja jenerali hana mahusiano mazuri au hana bahati maana kama ana miaka 28 halafu huyo mtoto wa kaguta ana 24 na huyo meja jenerali amefanya operations nyingi na kwa mafanikio basi kuna tatizo mahali
Rtd Lt Gen Mwakibolwa alikuwa vizuri sana na kingine ni afisa wa mizinga yule tofauti na COS wengi ambao mostly lazima watokee Infantry, kwa hiyo kuwa mtu wa mizinga kulimbeba pia
Huku kwetu ceiling ni cheo cha meja jenerali sababu vyeo vya Lt gen na Gen viko reserved kwa ajili ya muundo wa kimadaraka.
Kwenye huu uzi naona mmeshikilia kuwa Museveni amembeba mwanawe bila kuzingatia elimu ya kijeshi au nathubutu pia kusema kuna vyeo vingine mtu anaweza kuvipata kulingana na muda na elimu yake kijeshi. Sio Museveni tu kambeba mwanawe lakini pia elimu ya kijeshi imembeba. Je kati yenu mnaosema kuwa Museveni kambeba mwanawe kuna anaejua kuwa kuna elimu ya kijeshi?View attachment 1018621
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Watu hawapandi vyeo kwa operations tu. Ukiwa unabakia kuzingatia hilo basi we bakia hapo lakini kikubwa kinachozingatiwa pia ni ufaulu wa masomo ya kijeshi. FaqatThen baada ya hizo trainings tuonyeshe na succesfully operations alizofanya.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Watu hawapandi vyeo kwa operations tu. Ukiwa unabakia kuzingatia hilo basi we bakia hapo lakini kikubwa kinachozingatiwa pia ni ufaulu wa masomo ya kijeshi. Faqat
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Unaweza kuwa umesoma lakini ufaulu je ukoje. Ndio maana hata hapa kwetu unaweza kumkuta mzee yupo cheo cha meja na ameajiriwa tangu miaka ya 85 huko lakini rafiki yako kaajiriwa juzi tu 2000 na ukamkuta lt col. Ukiona hivyo jua huyo mzee aloganda ba Umeja miaka yote hiyo kichwani hamna kitu.Comrade hujasomeka vizuri. Wengi hatujui mpangilio ukoje toka sajent mpaka GENERAL.
Tutashukuru kama utatupatia. Je ukitoka hizo kozi ina maana wewe vyeo vingine unarushwa tu. Hakuna sliyesoma kama yeye UG ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaweza kuniambia vyeo vya kijeshi vinatolewaje?Trainings+Succesfully operations=Competent Soldier
Ikimiss element 1 katika hio equation,then ni buureeeeeee.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hivi unaweza kuniambia vyeo vya kijeshi vinatolewaje?
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Kama ana vigezo? Miafrika akili mbovu sana. Yaani kisa baba mtoto yeye haruhusiwi kuchaguliwa au kuteuliwa hata kama ana vigezo?museveni anacho fanya ni hovyo (hii ni kwa kuwa sina madaraka)
ila nikiyapata ningefanya ivo ivo
NB.hakuna mzazi anayeweza mpa mwanae nyoka kama ataomba samaki
Kama ana vigezo? Miafrika akili mbovu sana. Yaani kisa baba mtoto yeye haruhusiwi kuchaguliwa au kuteuliwa hata kama ana vigezo?
Usilazimishe taratibu za uteuzi kwa nchi wa magharibi ndio ziwe standard kwetu afrika, grow up! Toa hiyo slavery mentality, umeshakuwa sasa tumia akili yako.Hujasikia Mfalme wa Thailand amekataa dada yake asigombee cheo cha uwaziri mkuu akisema hio italeta favouritism?
No wonder tukawa waafrica,Baba Rais(M7),Mkewe ndiye waziri wa elimu,Mtoto anakaribia U-CDF wa Uganda na bado Mwafrika wewe unaona ni sawa kabisaa.
No wonder tukawa Wa-Africa.
Sent from my iPhone using JamiiForums