Museveni ampandisha cheo mwanae kuwa Luteni Jenerali

Hapo ni kweli lazima kuna tatizo sehemu angalia kwa mfano sifa za luten jeneral mstaafu wa jw mwakibolwa operation alizoendesha hasa hii ya m-23

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Itakuwa huyo meja jenerali hana mahusiano mazuri au hana bahati maana kama ana miaka 28 halafu huyo mtoto wa kaguta ana 24 na huyo meja jenerali amefanya operations nyingi na kwa mafanikio basi kuna tatizo mahali

Rtd Lt Gen Mwakibolwa alikuwa vizuri sana na kingine ni afisa wa mizinga yule tofauti na COS wengi ambao mostly lazima watokee Infantry, kwa hiyo kuwa mtu wa mizinga kulimbeba pia

Huku kwetu ceiling ni cheo cha meja jenerali sababu vyeo vya Lt gen na Gen viko reserved kwa ajili ya muundo wa kimadaraka.
 
Ngoja nije kubisha.
 
Alijiunga na jeshi mwaka 1994 which means yupo mwaka wa ishirini na tano huu
Ndugu huo ni mwaka alioanza kujifunza masomo ya kijeshi lakini hakua mwanajeshi. Mwaka 1999 ndo alikua active soldier. Haraka haraka mwaka 2001 akawa Major, 2008 akawa lieutenant colonel, 2016 Major general, 2yrs later ndo imekua hivo tena!!! Muda wote yeye alikua huko Presidential guard brigade tu. Jeshini sio lelemama bro, zaidi ya huko Presidential guard, Muhoozi hakuwahi kuongoza Company yoyote, hakuwahi kuongoza brigade yoyote and above all hajawahi kuongoza oparesheni yoyote labda ya kumlinda babaake, hajawahi pia kuongoza Division yoyote, alafu leo amekua three star general? Come on....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sandhurst alienda mwaka gani?
 
Hapo ni kweli lazima kuna tatizo sehemu angalia kwa mfano sifa za luten jeneral mstaafu wa jw mwakibolwa operation alizoendesha hasa hii ya m-23

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Si unajua sasa hivi aliyekua Maj Gen Kainerugamba Muhoozi anacommand kikosi gani???(Presidential Guard Brigade) na unajua kile kikosi kimeshafanya Op ngapi ambazo nyingi ni za siri?? The guy deserves hio rank. Kudos Lt Gen Muhoozi
 
Museveni is 76 not 86
 
Mara nyingi vikosi kama hivyo huwa wanadili na wapinzani wa raisi tu

Hutu James kwa nafsi aliyopo ni lazima ataukwaa mkuu wa majeshi tu na atakuwa cdf kilaza zaidi
Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
OK kuna adui anaitwa Israel atamnyaka Baba yake. Ajitayarishe kupambana nae. Bora Mzee angekaa pembeni ili Israel akija wajipange vizuri. Kitakacho tokea sasa Mzee atakimbizwa India au Belgium na Muhozi atabaki anashangaa.
 
Ila tujivunie, kwa huyo cdf mtarajiwa kwani kazaliwa dar na hadi anarudi kwao alikua na miaka mitano. Nadhani nikisema ni mtanzania wa kuzaliwa nitakua sijakosea sana. Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda ile operation ya kumpiga Bob wine na wafuasi wake ndio aliyoitekeleza kwa ustadi,nje ya hapo hamna OP ya maana amefanya.
 
Mara nyingi vikosi kama hivyo huwa wanadili na wapinzani wa raisi tu

Hutu James kwa nafsi aliyopo ni lazima ataukwaa mkuu wa majeshi tu na atakuwa cdf kilaza zaidi

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Ila unakubali kuna Op kazifanya chafu/safi sio?
 
Labda ile operation ya kumpiga Bob wine na wafuasi wake ndio aliyoitekeleza kwa ustadi,nje ya hapo hamna OP ya maana amefanya.

Unajua vigezo vya kupima "umaana" wa Op yoyote ya kijeshi?.....
 
2001-Major
2008-Luten kanali
2016-Meja General
2019-Luten General
Tatizo sio muda wa kulitumikia jeahi ila kuna Muhooozi hajaongoza operation yotoye hadi apandishwe cheo kwa kasi hivyo?
Wapo MaBrigedia General,Kanali,walioongoza operation mbalimbali kwa mafanikio lakini hawapandi kama Jamaa!
Muda mwingi yupo mafunzoni wakati wenzake wapo field tena kwenye operation za kijeshi.
 
Cheo cha Luteni jenerali ni kwa mtu ambae amelitumikia jeshi kwa miaka isiyopungua 20 mbona huyo Kainerugaba anatumikia mwaka wa 25 huu

Kwenye nchi yetu cheo hicho pamoja na cha full general kiko reserved kwa ajili ya muundo wa kimadaraka jeshini
Mkui jeshini wanaangalia umeongoza operation ngapi kwa mafanikio? Kainerugaba hajaongoza operation yoyote muda wote yupo mafunzoni...wapo maofsa wameongoza operation nyingi hasa Congo na kaskazin mwa uganda kwa mafanikio makubwa na wamepigwa banch!
 
Kaajiriwa jeshini 1999.kabla.ya hapo.alikua anhudhuria kozi za kijeshi uingereza kabla hajaajiriwa rasmi jeshini ..miaka 2 baadae kawa
2001-Major
2008-Luten kanali
2016-Meja General
2019-Luten General
Tatizo sio muda wa kulitumikia jeahi ila kuna Muhooozi hajaongoza operation yotoye hadi apandishwe cheo kwa kasi hivyo?
Wapo MaBrigedia General,Kanali,walioongoza operation mbalimbali kwa mafanikio lakini hawapandi kama Jamaa!
Muda mwingi yupo mafunzoni wakati wenzake wapo field tena kwenye operation za kijeshi.
 
Mbeleko ya baba hiyo mkuu, maana jeshi ni field hasa ukishafikia cheo cha Kanali na kuendelea hapo piga operation kwa mafanikio upande cheo!! Ndo maana wanajeshi wengi wanastaafia cheo cha kanal au Brigedia Gen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…