Museveni ampandisha cheo mwanae kuwa Luteni Jenerali

Huyu Kenelugaba mbona hana jina la Mseveni ni mtoto wa kambo wa Yoweri Kaguta?
 
Kwenye huu uzi naona mmeshikilia kuwa Museveni amembeba mwanawe bila kuzingatia elimu ya kijeshi au nathubutu pia kusema kuna vyeo vingine mtu anaweza kuvipata kulingana na muda na elimu yake kijeshi. Sio Museveni tu kambeba mwanawe lakini pia elimu ya kijeshi imembeba. Je kati yenu mnaosema kuwa Museveni kambeba mwanawe kuna anaejua kuwa kuna elimu ya kijeshi?

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Comrade hujasomeka vizuri. Wengi hatujui mpangilio ukoje toka sajent mpaka GENERAL.
Tutashukuru kama utatupatia. Je ukitoka hizo kozi ina maana wewe vyeo vingine unarushwa tu. Hakuna sliyesoma kama yeye UG ?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini muda Mwingi awe mafunzoni?

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Brigedia jenerali ni cheo cha ngapi kutoka juu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Then baada ya hizo trainings tuonyeshe na succesfully operations alizofanya.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Then baada ya hizo trainings tuonyeshe na succesfully operations alizofanya.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Watu hawapandi vyeo kwa operations tu. Ukiwa unabakia kuzingatia hilo basi we bakia hapo lakini kikubwa kinachozingatiwa pia ni ufaulu wa masomo ya kijeshi. Faqat

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Trainings+Succesfully operations=Competent Soldier

Ikimiss element 1 katika hio equation,then ni buureeeeeee.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Comrade hujasomeka vizuri. Wengi hatujui mpangilio ukoje toka sajent mpaka GENERAL.
Tutashukuru kama utatupatia. Je ukitoka hizo kozi ina maana wewe vyeo vingine unarushwa tu. Hakuna sliyesoma kama yeye UG ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuwa umesoma lakini ufaulu je ukoje. Ndio maana hata hapa kwetu unaweza kumkuta mzee yupo cheo cha meja na ameajiriwa tangu miaka ya 85 huko lakini rafiki yako kaajiriwa juzi tu 2000 na ukamkuta lt col. Ukiona hivyo jua huyo mzee aloganda ba Umeja miaka yote hiyo kichwani hamna kitu.

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Trainings+Succesfully operations=Competent Soldier

Ikimiss element 1 katika hio equation,then ni buureeeeeee.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hivi unaweza kuniambia vyeo vya kijeshi vinatolewaje?

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Nadhani Mkuu Mwakibolwa anaweza kutueleza kwa undani alifikaje pale.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
museveni anacho fanya ni hovyo (hii ni kwa kuwa sina madaraka)

ila nikiyapata ningefanya ivo ivo

NB.hakuna mzazi anayeweza mpa mwanae nyoka kama ataomba samaki
Kama ana vigezo? Miafrika akili mbovu sana. Yaani kisa baba mtoto yeye haruhusiwi kuchaguliwa au kuteuliwa hata kama ana vigezo?
 
Kama ana vigezo? Miafrika akili mbovu sana. Yaani kisa baba mtoto yeye haruhusiwi kuchaguliwa au kuteuliwa hata kama ana vigezo?

Hujasikia Mfalme wa Thailand amekataa dada yake asigombee cheo cha uwaziri mkuu akisema hio italeta favouritism?

No wonder tukawa waafrica,Baba Rais(M7),Mkewe ndiye waziri wa elimu,Mtoto anakaribia U-CDF wa Uganda na bado Mwafrika wewe unaona ni sawa kabisaa.

No wonder tukawa Wa-Africa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Usilazimishe taratibu za uteuzi kwa nchi wa magharibi ndio ziwe standard kwetu afrika, grow up! Toa hiyo slavery mentality, umeshakuwa sasa tumia akili yako.
kuna mahali katiba ya Ug imemkataza na yeye kaovunja kwa kufanya hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…