Museveni amteua Mke wake kuwa Waziri!

Museveni amteua Mke wake kuwa Waziri!

Huyu Janet Museveni is a power in herself bila ya kuntegemea Yoweri!! Nadhani if anything huyu mama ni stabilizing force sana kwa Yoweri otherwise Museveni angeweza kufanya mambo ya ajabu kuliko Mugabe. Si mnamkumbuka yule mam mke wa Mugabe aliyefariki; kabla ya kifo chake tabia ya Mugabe ilikuwa tofauti sana na sasa!! Janet Museveni ana sifa zote za kuwa waziri na kuwa mke wa Yoweri sidhani kilikuwa kigezo cha kumteua na hata waganda wenzie sidhani kuwa wanawezakulalamika!!

kuna habari kwamba huyu mama amehama ikulu ya uganda na kuhamia kwenye "palace" yake kwa kukimbia dogodogo ambayo m7 ameihamishia ikulu. sasa hiyo sifa stabilizing force imetoka wapi? kama hii habari ya huyu mama kuhama ikulu ni kweli basi inawezekana kabisa huu uwaziri ni zawadi tuu kutaka kumpoozesha.
 
Last edited:
Aibu yaani bila woga unaamua kumfanya mke wako Waziri????

Bunge halina nguvu???

hakuna akina Slaa huko???
 
baraza jipya la mawaziri lina mawaziri 24 na
mawaziri wa nchi 44, halafu wapo washauri
wa rais 6 wenye wadhifa sawa na mawaziri.

kweli nilidhani ni bongo tu ambapo walalahoi
tumebebeshwa mzigo wa serikali kubwa!
 
Mimi nachanganyikiwa hapa, maana naona M7 na Mugabe ngoma droo.
Huyu jamaa si ndio alitaka kuwa Rais wa kwanza EA?
Angetuteulia mkewe kuwa gavana wa suala lolote EA ingekaaje?
Power corrupts kweli kweli,mzee M7 si ajabu hajioni masikini.
Kwa misingi tu ya utawala bora huyu mama sasa ni makamu wa Rais.
Mbishie hata ukiwa waziri na utaonja joto ya jiwe, sikapewa rungu?
Ni pale Lucy Kibaki akipewa uwaziri , uuuwi sijui itakuwaje!

Si kweli, Museveni na Mugabe ni tofauti kabisa. Mimi nimekuwa nikitembelea nchi hizo mbili mara kwa mara, Uganda na waganda wamepiga hatua mbele sana katika kipindi hiki cha uongozi wa Museveni. Kizazi ambacho kilichozaliwa wakati wa Museveni nadhani huenda kikiwa ndiyo kizazi bora sana Afrika mashariki kwa siku za usoni (haya ni maoni yangu binafsi kwa tathmini yangu). Museveni amefanikiwa kupunguza tofauti za kimakumndi katika Uganda tofauti na Kenya ambapo kizazi cha sawasawa na kile cha Uganda bado hakijakomboka katika lindi la makundi.

Uganda inafanya vizuri kiuchumi kwa usimamizi wa rais aliyepo madarakani, jiulize Zimbabwe iko wapi kiuchumi, then tafakari maneno yako.
 
"Good governance" inakataa hilo, si kwa sababu hana uwezo, la hasha " Ila maranyingi wenzetu waliokuwakatika maswalaya uongozi siku nyingi, tafiti zao zinaonyeshakuwa inpotokea mapingano, ni vgumukumtenganisha "binanadamu na URaisi wake, au na familia yake. Hivyo ilikuondoa wasiwasi huo, haifanywi. Pamoja na kwambainaezekana, inaruhusiwa na pengine ni bora, lakiniukisha anzisha"una set precedence" wengine wataingiza na kenge kwenye misafara ya mamba. Nadhnitunfahamu kuwa mtu atakwambia mbona fulanialifanya?.
Kuhusuhilila kuendelea kuwa na kugombea uraisi ni UN'GAN'GANIZI tu, ni vyemamu kwa busarayake akatambuakuw na wengne wapo na wanahitajikupewa nafasi!!! unapong'an'gania wewe tu unawanyima nafasi wengine ambao bila shakawangeeza kufanya engine viurikuliko wewe au hata mabaya! Lakini wanasema mtu asiye fanya makosa ni yule ambaye hafanyi chochote. wako maraisi wengi tu waliopedwa sana lakiniilifika wakati wkaachia na wengne. Nyerere alisema kule London alipokuwa akipita,
1. Miaka 24 nikipi sijafanya? ambacho nifanye sasa.
2. Kuna vijana wengine wameshakua na wana uwezo, tuwape nafasi.

Ni vyema tujenge utmaduni wa kuachia nafasi.
 
Hapa mtu mzima kachemka kama siyo mtu mzima hovyo!!Eti kageuza nchi kuwa kampuni binafsi na yeye M7 kuwa ndiye mwenye majority shares;siku hizi hata kampuni binafsi zina hakikisha kwamba zinajiendasha kwa faida.Hivyo basi suala la ufanisi katika utendaji kazi siyo la kufanyia majaribio.
Janet kupewa wizara na mumewe ni makosa kabisa;kutakuwa na conflict of interest katika suala zima la kiutawala na utendaji wa kazi ndani ya serikali hiyo ya Ug...
 
"Good governance" inakataa hilo, si kwa sababu hana uwezo, la hasha " Ila maranyingi wenzetu waliokuwakatika maswalaya uongozi siku nyingi, tafiti zao zinaonyeshakuwa inpotokea mapingano, ni vgumukumtenganisha "binanadamu na URaisi wake, au na familia yake. Hivyo ilikuondoa wasiwasi huo, haifanywi. Pamoja na kwambainaezekana, inaruhusiwa na pengine ni bora, lakiniukisha anzisha"una set precedence" wengine wataingiza na kenge kwenye misafara ya mamba. Nadhnitunfahamu kuwa mtu atakwambia mbona fulanialifanya?.
Kuhusuhilila kuendelea kuwa na kugombea uraisi ni UN'GAN'GANIZI tu, ni vyemamu kwa busarayake akatambuakuw na wengne wapo na wanahitajikupewa nafasi!!! unapong'an'gania wewe tu unawanyima nafasi wengine ambao bila shakawangeeza kufanya engine viurikuliko wewe au hata mabaya! Lakini wanasema mtu asiye fanya makosa ni yule ambaye hafanyi chochote. wako maraisi wengi tu waliopedwa sana lakiniilifika wakati wkaachia na wengne. Nyerere alisema kule London alipokuwa akipita,
1. Miaka 24 nikipi sijafanya? ambacho nifanye sasa.
2. Kuna vijana wengine wameshakua na wana uwezo, tuwape nafasi.

Ni vyema tujenge utmaduni wa kuachia nafasi.

Tatizo kubwa ni umimi tu. Inashangaza hata Mugabe anasema hajaona mtu wa kumwachia urais! M7 aliingia Ug akafanya mambo makubwa tu. Ila kwa tabia yake chafu ya kutopenda kuweka katiba imara na isiyochezewa na mtu yeyote, hawezi kuwa na hakika nchi itakuwaje akiondoka. Naamini kiongozi mzuri ni yule anayeweka mifumo isiyoyumba. Hilo viongozi wengi hawataki ili waendelee kuchezea akili za wananchi wao. Hebu fikiria US ingekuwaje wakati wa Bush na Gore kama katiba na sheria zake zingekuwa lelemama. Nadhani Bush angejiongezea muda ili akamalizie kazi Iraq na Afghanstan.🙄
 
M7 Waziri wa Maisha
Mkewe: Janet Kaguta M7 : Waziri wa Nchi, Karamojong Land
Kaka yake M7: Genral Saleh .....Senior Security Adisor to President m7
M7's Son: Lt. Col. Muhoozi Keinerugaba...... Senior Army Officer

Siyo mbaya sana, ili mradi katiba ya nchi inaruhusu na iwapo sifa za wana familia hao zinaruhusu pia........Good Governance......hahahahahahahahahaha?????????

Kuna na Shemeji yake, SAM KUTESA, ambaye ni Waziri wa mambo ya nje.
 
Museveni (M7) amekaa ktk madaraka miaka 24!

Kweli Power Corrupts!!

Amini usiamini...M7 amamteua mke wake kuwa waziri atakayeshughulika na eneo la Karamajon!
Source: BBC

Uganda kuna wafalme wa makabila (Bunyoro, Banganda, Wakisu, Nyankole nk) sasa Museveni ndiye mfalme wa shirikisho la falme za Uganda!
 
Inasemekana Janet Museveni anataka kugombea urais siku zijazo.[/QUOTE] huo ndio ukweli wa mambo kuwa anataka kuikabidhi nchi kwa mkewe. kwa maana hiyo M7 hataki kuiachia nchi kwa mtu asiye mwamini. Yale yale ya viongozi wa Afrika hawakosi vituko inapofikia muda wa kuachia madaraka. Nawapa pole watu wa Uganda kuwa utawala wa M7 hautaisha mpaka vizazi vyake viishe.

Tusubiri ya Bwana Mugabe kama hatacopy strategy za M7. Mungu nipe maisha marefu ili nishuhudie vituko vya wakulu wa Africa
 
Back
Top Bottom