Kafara
JF-Expert Member
- Feb 17, 2007
- 1,396
- 425
Huyu Janet Museveni is a power in herself bila ya kuntegemea Yoweri!! Nadhani if anything huyu mama ni stabilizing force sana kwa Yoweri otherwise Museveni angeweza kufanya mambo ya ajabu kuliko Mugabe. Si mnamkumbuka yule mam mke wa Mugabe aliyefariki; kabla ya kifo chake tabia ya Mugabe ilikuwa tofauti sana na sasa!! Janet Museveni ana sifa zote za kuwa waziri na kuwa mke wa Yoweri sidhani kilikuwa kigezo cha kumteua na hata waganda wenzie sidhani kuwa wanawezakulalamika!!
kuna habari kwamba huyu mama amehama ikulu ya uganda na kuhamia kwenye "palace" yake kwa kukimbia dogodogo ambayo m7 ameihamishia ikulu. sasa hiyo sifa stabilizing force imetoka wapi? kama hii habari ya huyu mama kuhama ikulu ni kweli basi inawezekana kabisa huu uwaziri ni zawadi tuu kutaka kumpoozesha.
Last edited: