Museveni ana hali ngumu. Tumsadieni jamani

Hapa Mara nyingi ndo USA na washirka wake huwa wanapata fursa
 
Hayo mavideo nilisha yaona one month ago walahi
Kuna baadhi ni ya jana juzi wiki moja hadi mwezi ila lengo liko palepale hali ya uganda sio nzuri ISIS
 
Mods mnamwacha huyu mpumbavu analeta Uzi wa kijinga hapa?kwa hiyo unataka Tanzania ipeleke jeshi kuua raia wanaodai haki zao? jinga kweli wewe boya,nguvu ya umma inazidi jeshi la nyuklia,museveni ataondoka kisha atafuatia Dikteta Magufuli.
We jamaa
 
Hebu ficha upuuz wako basi....
 
Bobi wine kachukuliwa mbiombio mpaka marekani mbona Tundu Lissu hakuna mmarekani aliyejali.
 
Unda serikali ya ukoo mkuu ukamsaidie!
Naona una vinasaba vya udikteta.
 
Hawa madikteta waliopo nchi za maziwa makuu sitamani hata kuwasikia.
 
Kuna habari kutoka Kongo na Burundi kuwa Wahutu wenye msimamo mkali wanajia ndaa kwenda kusaidia kumg'oa Museveni kwa kile wanachosema mseveni ndio anaewasaidia watutsi wenye msimamo mkali.
waende haraka
 
Ndugu wala hujielewi mimi naandika utumbo lakini wewe ndio utumbo wenyewe,avatar ni sawasawa uvae nguo za unesi halafu ufanye kazi ya mgambo wa jiji.
Hii inaumiza kuliko hata kunaswa kibao.
 
Serikali yetu imsaidie Mseveni nini sasa,imesaidie azidishe Udikteta azidi kuwatesa Waganda...???
 
Suspect namba moja ni Kenya ila kuna wengine ambao watajulikana tu ndani 48hrs.
Na ukiwajua utafanya Nini. Aondoke aende zake huko. Tangu nipo darasa la Kwanza ni Museven mpaka leo Nina wajukuu. Hiyo nchi haina watu wengine ?????
Upuuzi huu.
 
ngoja tuite vijana wa kazi walete mambo ya sirini hapa juu ya kipi kinacho jiri huko
KIBST
MISULI
Na mwingine jina limenipotea kidogo
 
Kuna baadhi ni ya jana juzi wiki moja hadi mwezi ila lengo liko palepale hali ya uganda sio nzuri ISIS
Itatulia tu hawajaanza leo hawa watu, alafu kuna waganda wengi wana pesa yao hawata kubali huu upuuzi!
Hawa ni vijana wachache wenye njaa kali walahi!
Watapigwa chini tu lazima!
USA ambao ndio Israel iko nyuma ya huyu mzee, ndio tofauti uliyopo kati ya Ghadafi na Sadamu na pia mali asili za Uganda sio kivilee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…