Museveni ana hali ngumu. Tumsadieni jamani

Museveni ana hali ngumu. Tumsadieni jamani

Kuna habari za kuwa Kampuni ya Total iko tayari kutia fedha ili kupoza hali ya tafrani iliyoikumba Uganda.
 
Kuna habari kutoka Kongo na Burundi kuwa Wahutu wenye msimamo mkali wanajia ndaa kwenda kusaidia kumg'oa Museveni kwa kile wanachosema mseveni ndio anaewasaidia watutsi wenye msimamo mkali.
 
Nani aingilie kati wakati ya ndani yetu wameshindwa kutekeleza,kama unashindwa kujenga mihimili ndani ya nyumba yako unaweza kwenda kujenga nje?
 
Museveni aondoke tu.
Uganda yote haina watu wengine tofauti na yeye na familia yake ambao wanafaa kuongoza nchi miaka yote zaidi ya 25?
 
Kamwe hatuwezi tukaiacha nchi ya Uganda iangamie.
 
magufuli.jpg

Baada ya kuwanyima fursa Wakenya na kutupa sisi angalia nyuso za Furara,
Kamwe hatuwezi kumuacha rafiki yetu wa kweli Mzee Yoweri Kaguta Museveni.
Mbali na bomba la mafuta pia alitusaidia kumn'goa Iddi Amini fedhuli yule.
 
nraa.jpg

Museveni akipigana bega kwa bega na majeshi yetu katika harakati za kuikomboa uganda.
 
ACHA UWONGO
MAVIDIO YA ONE MONTH AGO WALAHI
 
Mods mnamwacha huyu mpumbavu analeta Uzi wa kijinga hapa?kwa hiyo unataka Tanzania ipeleke jeshi kuua raia wanaodai haki zao? jinga kweli wewe boya,nguvu ya umma inazidi jeshi la nyuklia,museveni ataondoka kisha atafuatia Dikteta Magufuli.


Yaani nikiona hivyo nasuuzika haswa......... maana hata mzee wa kufyatua nae atie akili
 
Mods mnamwacha huyu mpumbavu analeta Uzi wa kijinga hapa?kwa hiyo unataka Tanzania ipeleke jeshi kuua raia wanaodai haki zao? jinga kweli wewe boya,nguvu ya umma inazidi jeshi la nyuklia,museveni ataondoka kisha atafuatia Dikteta Magufuli.
Acha povu!
Mavideo yameshapitwa na wakati haya!
 
Uganda si kisiwa cha tanzania. And yes hayatuhusu.. ni wao na siasa zao. Nakushangaa unavyohangaika wkt serikal ya tz imekaa kimya.
oil-pipeline-uganda-600x0.jpg
Ninachokiongelea ni hii pipe ujenzi wake utakoma au utahamishiwa Kenya mkuu!!for god's sake!
 
Back
Top Bottom