Museveni ana hali ngumu. Tumsadieni jamani

Museveni ana hali ngumu. Tumsadieni jamani

Kuna Habari ya kuwa Vikundi vya Wahutu wenye msimamo mkati na ADC vimeungana ili kuivamia Uganda kutokea mashariki mwa Kongo.
 
Kuna tetesi ADC na Vikundi vya kihutu vinamsapoti Huyu shehe.
 
Nimeshasema tena na tena wanachochewa na vikundi fulani mbona hutaki kunielewa.
Hakuna cha kikundi wala nn. Hii ni kwamba wananchi walichoka na matukio yanayotokea kuuwawa ama kudhuriwa kwa watu ambao wananchi walikuwa wanatarajia wawakilishwe. Huku mhe rais amekaa kimya tu?
Ukimya wake umemponza. Either yeye mwenyewe ajirekebishe style yake ya uongozi maana ameshakuwa mfalme nchin kwake..
Au yatokee yakutokea
 
Kumbuka nchi yetu imezidiwa na wageni katika kila watanzania kumi watatu ni wageni.
Tena wewe ndo unatakiwa ufunge mdomo kabisa manake una kimbelembele sana cha kumtetea Jiwe. Andika waraka kwa Jiwe ajipange na yeye. Uonevu una mwisho wake. Nchi hii tumekuwa wakimbizi sasa. Kila kukicha ni matisho na kebehi tu. Hatupati usingizi
 
Vikundi vya Kihutu huko mashariki mwa Kongo vimeonekana karibu na mpaka wa Uganda.
 
Maandamano haramu yameshaanza katika viunga mbalimbali vya mji wa Kampala huku Askari wa kutuliza ghasia wakiwa watazamaji tu.

Naiomba serikali yangu ifanye kila liwezekanalo ili kuisaidia Serikali ya Museveni.
Hali hii ikiachwa Uganda itaingia kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe.


Unakuja kulialia nini huku. Weka fasta ukurasa wa mbele Tanzanite na Jamvi la habari.
 
Museveni amwaga fedha ili kupunguza makali ya maisha.
 
Mku wa majeshi ni ndugu yake museveni. Na huyu wakati anapandishwa cheo alikuwa askari mwenye cheo cha kawaida tu.

Nakumbuka ilileta maswali mengi sana, lakin kumbe ni ktk kujilinda
Inasemekana ni mwanae
 
Museveni aahirisha kuongea na taifa atimkia China kuomba msaada.
 
Bado basha wenu kichaa dawa inachemka
Kijana nakuomba tusichanganye mambo kama jani la leo ni kali nitumie namba yako ni kitumie Mpesa ukanywe juisi ya miwa baridii
 
Back
Top Bottom