Museveni ana hali ngumu. Tumsadieni jamani

Museveni ana hali ngumu. Tumsadieni jamani

Unataka kutuingiza kwenye vita vya kagera tena? Acha ma dikteta wapate haki yao bana
Tumsaidie tumpelekee polisi watiifu polisi CCM hata wakiambiwa he wanaua hao wanaonekana hawafai siyo watiifu
 
Bobi wine ameanza kutumika na mabeberu ili aichafue uganda na mafuta yaende bure.
 

Hali ni mbaya kwelikweli mji mzima unawekwa chini ya ulinzi.
 
Wanajiona wao ndio wenye HAKI ya kuwaongoza wenzao! Cjui wameumbwajeee? Yaani huwa HAWAONI na wala HAWACKII! Yamkute tu
 
Sisi tunaangalia maslahi yetu kama tumesaini bomba la mafuta lipitie hapa tuko radhi tumsaidie Museveni ili Wakenya wasituchukulie ajira zetu
Maslahi yetu huku rai wa uganda wapate shida sababu ya mtawala mmoja ambae hataki kusikia sauti za wananchi wake? Realy
 
Masikini Bomba letu la mafuta. Wapinzani wa Museven wakifanikiwa kumtoa tu watalipitisha Kenya. Na Kenyatta jinsi alivyo smart lazima achochee kuni hapo hadi M7 aondoke
 
b1-1.jpg

Vijana wetu tuwasogeze mtukula ili wawe tayari Kutoa msaada wa kiulinzi dhidi ya choko choko za Kenya.
 
View attachment 863897
Vijana wetu tuwasogeze mtukula ili wawe tayari Kutoa msaada wa kiulinzi dhidi ya choko choko za Kenya.
Vijana wetu hawafanyi kazi za kijinga namna hiyo.
Unasema tunatetea maslahi? What about raia wa uganda? Unafikiri wale ni ng'ombe kwamba it okay wao kuzid kugandamizwa in the name of maslah yetu?

Until museven atakapo sikiliza sauti za wananhi wake.. serikal ya tz hauwez kufanya jambo la kitoto kupeleka vikos mpakan kisa jiran amelikoroga mwenyewe.
 
Maslahi yetu huku rai wa uganda wapate shida sababu ya mtawala mmoja ambae hataki kusikia sauti za wananchi wake? Realy
Dunia ya leo ni kuangalia "maslahi ya taifa" tumesaidia nchi nyingi sana kwa masuala ya kibinadamu kama Zimbambwe Namibia nk lakini hatimae tumeambulia asante tu hata raia wetu walioko huko wanauwa kila siku.
 
Huyu mzee ataondoka kama comrade mugabe alivyoondoka. Hufika wakati viongozi wetu hujiona they are large than life na kushindwa kabisa kuona uhalisia ukoje.
 
Back
Top Bottom