Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wa majeshi kuwa mtu wake wa karibu haiwalazimishi waganda wote kutii mambo yasiyokuwa ya haki. Mbona tunasaau sana jamani kwani Libya ilikuwaje? Jeshi lote lilikuwa linaonekana kumtii Rais lakini mambo yalipobadilika alikutwa kwenye mtaro akiwa kajificha na pistol yake ya dhahabu.Mkuu wa Majeshi si nasikia ni mtu wake karibu sana wa damu, sasa hapo unadhani wanajeshi wataacha "kumpenda na kumtii"
Ila M7 kawa rais muda kitambo vajameni, tangia 1986 hata wanaJF wengine walikuwa hawajazaliwa.Mku wa majeshi ni ndugu yake museveni. Na huyu wakati anapandishwa cheo alikuwa askari mwenye cheo cha kawaida tu.
Nakumbuka ilileta maswali mengi sana, lakin kumbe ni ktk kujilinda
Hi ni mifano mnaoneshwa. Mnapoambiwa tendeni haki mnajibu kejeli na matusi na watu kupotea. Hamtabaki salama.Maandamano haramu yameshaanza katika viunga mbalimbali vya mji wa Kampala huku Askari wa kutuliza ghasia wakiwa watazamaji tu.
Naiomba serikali yangu ifanye kila liwezekanalo ili kuisaidia Serikali ya Museveni.
Hali hii ikiachwa Uganda itaingia kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Tumeoa kwao nao wameoa kwetu.Mbona tayari tunao wakimbizi wa Burundi na Rwanda tumeishi nao miaka na miaka
Tofauti yetu na Uganda ni kubwa sana.Kwani matatizo yetu yanatofouti gani na Uganda tumetawaliwa na chama kimoja zaidi ya miaka 50 hamna demokurasia uhuru usawa uchanguzi huru nk. Sasa who will help who?
Isitoshe mkuu silaha za aina mbalimbali zitaingia nchini, halafu lile bomba la mafuta tusahau.Tujiandae tu kuweka mahema mipakani
Na chakula cha kutosha kwani haya ni kawaida na yanatokea sehemu nyingi, ila sio mpaka yatokee tu lazima tujiandae kwa lolote
Vurugu sio afya kwa taifa na hata jirani pia
Tuwaombee sana Mungu
Ndo hapo sasa ana halibuMkuu wa Majeshi si nasikia ni mtu wake karibu sana wa damu, sasa hapo unadhani wanajeshi wataacha "kumpenda na kumtii"
UpuuziMods mnamwacha huyu mpumbavu analeta Uzi wa kijinga hapa?kwa hiyo unataka Tanzania ipeleke jeshi kuua raia wanaodai haki zao? jinga kweli wewe boya,nguvu ya umma inazidi jeshi la nyuklia,museveni ataondoka kisha atafuatia Dikteta Magufuli.
Absolutely tuweke RIPNduli Museven aondolewe kabisa katika uso wa dunia
HIZI HABARI NAZIONA HUMU JF TU NA SI MITANDAO MINGINE
Sio jambo dogo hili la kupuuzaIsitoshe mkuu silaha za aina mbalimbali zitaingia nchini, halafu lile bomba la mafuta tusahau.