Museveni ana hali ngumu. Tumsadieni jamani

Museveni ana hali ngumu. Tumsadieni jamani

Utawala wa Museveni ukianguka Kagame hachukui mwaka.
Labda wanyarwanda wanao tawala Uganda wata lejea makwao, ila kagame hatawaruhusu kiingia Rwanda ndomaana anasogeza ma jeshi mpakani
 
Wanajeshi wapo na museveni bega kwa bega lakini polisi hawapo pamoja na museveni, hapo ndo tatizo raia wa uganda wana wapenda sana polisi kuliko jeshi lao. Ndo chanzo cha polisi kuuwawa hovyo uganda akianzia yule kamanda wao
 
Kwa mambo anayofanya M7 tukimsaidia tutakuwa tunawaumiza wananchi wake.

Kuna mtu aliwahi kutabiri hapa JF, yaliyotokea Zimbabwe yatafuatia Uganda.
 
Wanajeshi wapo na museveni bega kwa bega lakini polisi hawapo pamoja na museveni, hapo ndo tatizo raia wa uganda wana wapenda sana polisi kuliko jeshi lao. Ndo chanzo cha polisi kuuwawa hovyo uganda akianzia yule kamanda wao
Mkuu wa Majeshi si nasikia ni mtu wake karibu sana wa damu, sasa hapo unadhani wanajeshi wataacha "kumpenda na kumtii"
 
halafu mleta mada ni mwongo na mnafiki hakuna kitu kama hicho hapa uganda kwa siku hii ya leo, msichukue clip za nyuma na kuzitafutia cha kuandika jinga kabisa wewe, aminini watanzania wenzangu nawaambia akitoka museveni madarakani hii uganda yatatokea machafuko ambayo hayawahi kutokea toka imezaliwa
Hujielewi wewe pimbi
 
Kumbuka nchi yetu imezidiwa na wageni katika kila watanzania kumi watatu ni wageni.
Sawa TWAWEZA Katika ujinga wako, unazidi kudhiirisha ulivyo mjinga... Hzo takwimu una uhakika nazo?
 
Tujiandae tu kuweka mahema mipakani
Na chakula cha kutosha kwani haya ni kawaida na yanatokea sehemu nyingi, ila sio mpaka yatokee tu lazima tujiandae kwa lolote

Vurugu sio afya kwa taifa na hata jirani pia
Tuwaombee sana Mungu
 
Mkuu wa Majeshi si nasikia ni mtu wake karibu sana wa damu, sasa hapo unadhani wanajeshi wataacha "kumpenda na kumtii"
Mku wa majeshi ni ndugu yake museveni. Na huyu wakati anapandishwa cheo alikuwa askari mwenye cheo cha kawaida tu.

Nakumbuka ilileta maswali mengi sana, lakin kumbe ni ktk kujilinda
 
Back
Top Bottom