Watu wazaliane tuHarare - Pretoria - Ethiopia - Kampala - Next...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wazaliane tuHarare - Pretoria - Ethiopia - Kampala - Next...?
Uzazi wa Mpango ni dalili ya Uvivu!Watu wazaliane tu
[emoji23] [emoji23]
Wale na kunywa sana maziwa ili wawe rijali🙄🙄Uzazi wa Mpango ni dalili ya Uvivu!
Labda wanyarwanda wanao tawala Uganda wata lejea makwao, ila kagame hatawaruhusu kiingia Rwanda ndomaana anasogeza ma jeshi mpakaniUtawala wa Museveni ukianguka Kagame hachukui mwaka.
Mkuu wa Majeshi si nasikia ni mtu wake karibu sana wa damu, sasa hapo unadhani wanajeshi wataacha "kumpenda na kumtii"Wanajeshi wapo na museveni bega kwa bega lakini polisi hawapo pamoja na museveni, hapo ndo tatizo raia wa uganda wana wapenda sana polisi kuliko jeshi lao. Ndo chanzo cha polisi kuuwawa hovyo uganda akianzia yule kamanda wao
hili nimeliongea sana, kwetu ni suala la muda tuKuna la kujifunza kwa yanayoendelea kutokea kwa majirani zetu. Uovu hauwezi kuvumilika kwa muda mrefu.
ewaaaaa[emoji120] [emoji39]Nani awasaidie!!
Kila mtu abebe furushi lake hadi afike nalo pale Goligotha kama sio Calvary
LumumbaHizo takwimu chanzo chake ni wapi? Unaijua sherìa ya takwimu wèwe?
Hujielewi wewe pimbihalafu mleta mada ni mwongo na mnafiki hakuna kitu kama hicho hapa uganda kwa siku hii ya leo, msichukue clip za nyuma na kuzitafutia cha kuandika jinga kabisa wewe, aminini watanzania wenzangu nawaambia akitoka museveni madarakani hii uganda yatatokea machafuko ambayo hayawahi kutokea toka imezaliwa
Sasa sisi itahusu nn wakianguka? After all hakuna kitu kinadumu forever.Utawala wa Museveni ukianguka Kagame hachukui mwaka.
Sawa TWAWEZA Katika ujinga wako, unazidi kudhiirisha ulivyo mjinga... Hzo takwimu una uhakika nazo?Kumbuka nchi yetu imezidiwa na wageni katika kila watanzania kumi watatu ni wageni.
Mku wa majeshi ni ndugu yake museveni. Na huyu wakati anapandishwa cheo alikuwa askari mwenye cheo cha kawaida tu.Mkuu wa Majeshi si nasikia ni mtu wake karibu sana wa damu, sasa hapo unadhani wanajeshi wataacha "kumpenda na kumtii"