Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Wayaaaaaaaaaaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumsaidie tumpelekee polisi watiifu polisi CCM hata wakiambiwa he wanaua hao wanaonekana hawafai siyo watiifuUnataka kutuingiza kwenye vita vya kagera tena? Acha ma dikteta wapate haki yao bana
Niko Masaka pia!acha kudanganya watu mkuu mimi nipo hapa masaka muda huu hakuna hata mtu anayeandamana acheni kuzusha vitu msivyovijua
Taifa la amani au la wavumilivu?Huoni kama mamilioni ya wakimbizi wataingina kwenye taifa letu la amani.
Na wengine mpaka tumewakabidhi Ikulu.Mbona tayari tunao wakimbizi wa Burundi na Rwanda tumeishi nao miaka na miaka
Katika hili uko sahihi, hata katika viongozi watatu wa juu kabisa mmoja na mgeni.Kumbuka nchi yetu imezidiwa na wageni katika kila watanzania kumi watatu ni wageni.
Sio mu7 tuu, hata huyu bichwa nkurungu nae #hemustgo##Musevenmustgo
Maslahi yetu huku rai wa uganda wapate shida sababu ya mtawala mmoja ambae hataki kusikia sauti za wananchi wake? RealySisi tunaangalia maslahi yetu kama tumesaini bomba la mafuta lipitie hapa tuko radhi tumsaidie Museveni ili Wakenya wasituchukulie ajira zetu
The lady on your avatar is extra gorgeous# Musevnimustgo##Musevenmustgo
Vijana wetu hawafanyi kazi za kijinga namna hiyo.View attachment 863897
Vijana wetu tuwasogeze mtukula ili wawe tayari Kutoa msaada wa kiulinzi dhidi ya choko choko za Kenya.
Dunia ya leo ni kuangalia "maslahi ya taifa" tumesaidia nchi nyingi sana kwa masuala ya kibinadamu kama Zimbambwe Namibia nk lakini hatimae tumeambulia asante tu hata raia wetu walioko huko wanauwa kila siku.Maslahi yetu huku rai wa uganda wapate shida sababu ya mtawala mmoja ambae hataki kusikia sauti za wananchi wake? Realy