Museveni atua dar ndani ya kenya airways huku kavalia bullet proof vest!

Museveni ni mjanja na anajua kucheza karata zake vizuri sana ndani EAC, kwenye bomba la mafuta aliitumia Kenya kupata a better deal kutoka Tz, na saivi Kenya tena watakalia kuti kavu kwenye SGR yao, deal ya EPA hiyo ndio msahau kwa sasa, kama Uganda amekubaliana na Tz , Kenya na Rwanda hamna ubavu wa kufanya chochote zaidi ya kulia magazetini.
 
Japo sio kweli kama amevaa bulletproof lakini tuchukulie kama ni kweli amevaa, kwanini tumlaumu wakati unapanda KQ, El Shabaab waliapa kuwamaliza wakenya wote. Hata mimi ningevaa.

Tujikumbushe wale viongozi walio vaa bulletproof vest zinazo onekana.

2a6595bc4ebca22f322f586f289da234.jpg
a8e7cbcb3df558d89f3881f775a6c8a2.jpg
 
Bullet proof vest inazuia pia risasi iloyolengwa kichwani? Sidhani. Museveni angechapia na crash helmet kichwani kuimarisha "defence "
 
Japo sio kweli kama amevaa bulletproof lakini tuchukulie kama ni kweli amevaa, kwanini tumlaumu wakati unapanda KQ, El Shabaab waliapa kuwamaliza wakenya wote. Hata mimi ningevaa.

Tujikumbushe wale viongozi walio vaa bulletproof vest zinazo onekana.

2a6595bc4ebca22f322f586f289da234.jpg
a8e7cbcb3df558d89f3881f775a6c8a2.jpg
Kwa hivo bullet proof jackets zinakinga milipuko ya bomu pia? Wangelipua bomu humo ndani ya ndege, angeponea?
 
Katika mashabulizi yote kigaidi unayo yajuwa, askari wanapelekwa kupambana na magaidi wakiwa wamevaa Full metal (head to toe) body armour? Au na wao wanapewa bulletproof vest.
 
Mimi sizungumzii maskari wanaopambana na ugaidi, na sidhani kama ulikuwa ukiwazungumzia ulipoandika haya...."kwanini tumlaumu wakati unapanda KQ, El Shabaab waliapa kuwamaliza wakenya wote. Hata mimi ningevaa".

Alshbb most likely watatumia bomu ikiwa watapata huo fursa ya kushambulia ndege ya Kenya. Kwa hivyo ni ya nini wewe kuvaa bullet proof eti kwasababu unapanda ndege ya Kenya, nchi inayohatarishwa na maghaidi? Wazo nzuri si ni wewe kutopanda ndege hizo?
 
Na kwanini mlisema amevaa bulletproof vest wakati hajavaa. Anyway hilo la kuvaa au kuto kuvaa nitawaachia hilo swala wakenya mlilo lileta.

Nirudi kwenye swali lako, kazi ya ile vest ni nini. Ni kuzuia vitu vyenye ncha kali (sharp object) visikudhuru mwilini mwako kutoka kwenye mabega mpaka tumboni na mgongoni. Kama kuna bomu, kipange kikakupiga tumboni vest ile inaweza kuokowa maisha yako. Kenyatta anajuwa hilo, akienda sehemu ya hatari ana vaa vest. Sasa mimi au mtu mwingine tukiamuwa kuvaa vest na nakupanda KQ tatizo liko wapi hapo? Au KQ has a policy of not allowing people with bulletproof vest to take a flight. Mbona prime minister wa Italy alivaa akiwa state house ya Kenya? Mlimuuliza kwanini amevaa?.
 
U are a joker Mwanzi1. Can sumbody wearing the vest survive a mid-air explosion inside of a plane flying some +10000ft above the ground? As for the projectiles, (a blast on the ground) unless u are quite far from the blast and the shrapnel not realy big.
 
Labda nikuulize swali, what is the weapon of choice kwa hao wasomali, explosive or AK47. If you go back and look at all the attacks which have been carried out by Al Shabaab, was there explosives? Mara ya mwisho umetembea Nairobi CBD lini? Have you seen the level of security in the shops and offices, was that the same ten years ago? No it wasn't
 
Back
Top Bottom