Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 530
- 1,446
😂😂😂Kampuni ya Magharibi ilikuja na kupendekeza kuchimba urani. “Nichimbe na upeleke wapi?” Walisema“ Isafirishe nje ili kuzalisha nishati ya nyuklia kwa ajili ya umeme na dawa. Nikawauliza: “Mmesikia fununu kwamba kuna binadamu hapa Uganda wanahitaji umeme? Walitoweka.
"A Western company came and proposed to mine uranium. “Mine it and take it where?” They said: “Export it to generate nuclear energy for electricity and medicine. I asked them: “Have you heard a rumour that there are human beings here in Uganda who need electricity? They vanished."
View attachment 2712774
Kula chuma hichoNi swala la muda tu
Kwahyo akubali yaishe?Wananchi wanashinda njaa.
Yeye yupo ikulu anakula tende na juice na ulinzi wa kutosha kwa kutumia silaha za hao wester.
Museveni ndio Mjomba pekee aliyebaki Afrika.Mwingine anayekuja ni yule dogo wa Niger.Kampuni ya Magharibi ilikuja na kupendekeza kuchimba urani. “Nichimbe na upeleke wapi?” Walisema“ Isafirishe nje ili kuzalisha nishati ya nyuklia kwa ajili ya umeme na dawa. Nikawauliza: “Mmesikia fununu kwamba kuna binadamu hapa Uganda wanahitaji umeme? Walitoweka.
"A Western company came and proposed to mine uranium. “Mine it and take it where?” They said: “Export it to generate nuclear energy for electricity and medicine. I asked them: “Have you heard a rumour that there are human beings here in Uganda who need electricity? They vanished."
View attachment 2712774
Sasa kosa lake ni lipi?M7 anakiburi ila dawa ya kiburi ni jeuri.
Waafrika sisi ni mataira sana,sasa mnamshambulia Museveni kisa kutowakubalia Wazungu,mijitu iliyotesa Mababu zetu na ikachukua rasirimali zetu,wewe Swine kabisa .Mzee ushajifia ww,, ndio maana wazungu hawaangaiki na ww,wanajua ni suala la mda tu
Huwezi kuwakwepa kirahisi rahisi hivyoWaafrika sisi ni mataira sana,sasa mnamshambulia Museveni kisa kutowakubalia Wazungu,mijitu iliyotesa Mababu zetu na ikachukua rasirimali zetu,wewe Swine kabisa .
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Umesema vema kabisa. yeye na wanaomhusu hawana shida yoyote duniani. Lidikitaita likubwaWananchi wanashinda njaa.
Yeye yupo ikulu anakula tende na juice na ulinzi wa kutosha kwa kutumia silaha za hao wester.
Sure mkuu yaan anayempinga M7 ni shoga ila hajielewi ni wakala wa shetani ila ni suala la mudaAnaye mpinga Sebo Kaguta Museveni kwa ufupi Hana akili wala Maarifa.
waafrika wenzang ni wanafki sana, kamwe siwez kua upande wa mwafrika hata kama yupo right..ntakua upande wa wazungu forever coz ni wakweli na wapo wazi sana..Waafrika sisi ni mataira sana,sasa mnamshambulia Museveni kisa kutowakubalia Wazungu,mijitu iliyotesa Mababu zetu na ikachukua rasirimali zetu,wewe Swine kabisa .
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app