Tajiri mkopeshaji
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 613
- 1,445
Wengi hawajui tuu..uyo museven ni kiongoz wa kukurupuka tu na maamuzi yake ya ajabuTunamsifu Museveni bila kujua waganda wengi watapitia hali ngumu sana. Uganda haiwezi kuwavimbia mabeberu ikabaki salama. Na bora mabeberu kuliko wachina wanaokukopesha kisha wanakuja kutaifisha mali zako ukishindwa kuwalipa. Hizi siasa za Museveni ni za kishamba na anajijali mwenyewe na kikundi cha watu wake wachache. Mabeberu ni kwenda nao kinafiki kama wao walivyo wanafiki.