Museveni azijibu kibabe nchi za Magharibi pamoja na kuwekewa vikwazo

Wengi hawajui tuu..uyo museven ni kiongoz wa kukurupuka tu na maamuzi yake ya ajabu
 
Ni kwl watapitia Hali ngumu Mkuu nikuulize swali gumu na unisamehe....nyumbani kwako hakuna chakula na wewe ni baba wa familia so unapata kazi Ina mshiko ila bosi anakwambia mojawapo ya sharti awe anakugonga nyuma Uwe unampa tigo
.
..je kwasababu una shida utakubali kutoa nyuma? Hata mkeo atakwambia urijali wako ni WA thamani zaidi....Bora tufe njaa...kuliko ukagongwe....ni unafiki wetu na uwoga ndo vinatuponza Mzee yuko sahihi sema f..ck you poverty
 
Umetoa mfano usioendana. Kuongoza nchi ni tofauti na familia. Tafuta mfano mwingine halafu urudi ku-comment upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…