Manton
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,163
- 1,523
Hawa ni majemedari ambao wamehakikisha katika uwanja wa vita mpaka sasa hakuna kifo kwa mateka wao yoyote. Hakika kuishi kwingi kuona mengi. Acha watawale wanajua thamani ya roho za watu wao. Kagame amekomboa mateka 65 kati ya 143 bila matokeo ya kifo. Naye Museveni amekomboa mateka 20 kati ya mateka 55 bila matokeo ya vifo. Hakika kazi wanaiweza vizuri sana.