Museveni na Kagame, heko!

Museveni na Kagame, heko!

Manton

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,163
Reaction score
1,523
Hawa ni majemedari ambao wamehakikisha katika uwanja wa vita mpaka sasa hakuna kifo kwa mateka wao yoyote. Hakika kuishi kwingi kuona mengi. Acha watawale wanajua thamani ya roho za watu wao. Kagame amekomboa mateka 65 kati ya 143 bila matokeo ya kifo. Naye Museveni amekomboa mateka 20 kati ya mateka 55 bila matokeo ya vifo. Hakika kazi wanaiweza vizuri sana.
 
Hawa ni majemedari ambayo wamehakikisha katika uwanj wa vita mpaka sasa hakuna kifo kwa mateka wao yoyote. Hakika kuishi kwingi kuona mengi. Acha watawale wanajua thamani ya roho za watu wao. Kagame amekomboa mateka 65 kati ya 143 bila matokeo ya kifo. Naye Museveni amekomboa mateka 20 kati ya mateka 55 bila matokeo ya vifo. Hakika kazi wanaiweza vizuri sana.
hakuna binadamu mwenye uwezo wa kuzuia kifo.
 
Hawa ni majemedari ambayo wamehakikisha katika uwanj wa vita mpaka sasa hakuna kifo kwa mateka wao yoyote. Hakika kuishi kwingi kuona mengi. Acha watawale wanajua thamani ya roho za watu wao. Kagame amekomboa mateka 65 kati ya 143 bila matokeo ya kifo. Naye Museveni amekomboa mateka 20 kati ya mateka 55 bila matokeo ya vifo. Hakika kazi wanaiweza vizuri sana.

Siku zote Marais waliopikwa vyema Kisiasa kisha wakapatiwa na Mafunzo mazuri ya Kijeshi na wakaja kuwa Wanajeshi ikitokea wakatawala nchi basi hiyo nchi itapiga mno hatua za Kimaendeleo kuliko wale Marais wanaotokea katika Maabara za Kikemia pekee huku wakiwa wamepita Jeshini kwa Miezi Mitatu tu. Hayati Baba wa Taifa Nyerere hakuwa Mjinga au Mpumbavu kuwapenda akina Museveni na Kagame kwani nje ya wao kuwa Wapambanaji wa Msituni lakini pia alishawaona kuwa wana Akili sana Vichwani mwao na wana Mapenzi ya Kweli na Wananchi wao.
 
Hawa ni majemedari ambao wamehakikisha katika uwanja wa vita mpaka sasa hakuna kifo kwa mateka wao yoyote. Hakika kuishi kwingi kuona mengi. Acha watawale wanajua thamani ya roho za watu wao. Kagame amekomboa mateka 65 kati ya 143 bila matokeo ya kifo. Naye Museveni amekomboa mateka 20 kati ya mateka 55 bila matokeo ya vifo. Hakika kazi wanaiweza vizuri sana.
Ungeleta faida za mpango wao,kifo hamna mtu anaweza zuia,kama wagonjwa wapo basi hamna walichokifanya cha maana ila ni bahati tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana hawataki kutoka madarakani.
Nchi nzima wao tu ndo wenye uwezo wa kutawala

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna tofauti kati ya Wao Kukataa kutoka Madarakani na Wananchi wao wa Uganda na Rwanda Kuwakubali na kuwa na Imani nao Kiuongozi. Je, Wewe unasimamia wapi hapa? Na je, hizo nchi zingine ambazo Marais wao ( wake ) hawang'ang'anii Madarakani na wanatoka Kikatiba katika Nyadhifa zao wao wana Maendeleo kivile na kuna Siasa zenye Tija na Demokrasia?
 
Kwenye nchi tajwa hapo juu Kuna watu wengi Sana wanakufa njaaa kuliko wanaokufa kwa Corona.

Hautosikia this from the authorities. Forceful Lockdown ni sawasawa na government killing its own citizens.
 
mahaba yamekuzidi mkuu, china, america, italia, spain kuna marais wabovu ndo maana kumekua na vifo vingi? au unawaza kwa kutumia makalio??

unapojenga hoja jitaidi kupunguza mahaba, hapo ndo akili itajenga hoja makini
Mkuu, pongeza pale inapobidi hata kama pongezi hizo ni mwiba nafsini mwako. Huko kote ni mbali tazama takwimu za Afrika mashariki, tuungane tena kuwapongeza amiri jeshi wakuu hawa wawili kati ya 6.
 
Mkuu, pongeza pale inapobidi hata kama pongezi hizo ni mwiba nafsi mwako. Huko kote ni mbali tazama takwimu za Afrika mashariki, tuungane tena kuwapongeza amiri jeshi wakuu hawa wawili kati ya 6.
hua sipongezi ujinga mkuu
 
Hawa ni majemedari ambao wamehakikisha katika uwanja wa vita mpaka sasa hakuna kifo kwa mateka wao yoyote. Hakika kuishi kwingi kuona mengi. Acha watawale wanajua thamani ya roho za watu wao. Kagame amekomboa mateka 65 kati ya 143 bila matokeo ya kifo. Naye Museveni amekomboa mateka 20 kati ya mateka 55 bila matokeo ya vifo. Hakika kazi wanaiweza vizuri sana.
labda wameona wawe wana mute pale vifo vinapotokea. those 2 dudes have got at least one thing in common.
kina Mwigulu Nchemba wapo kila nchi ujue!
 
Back
Top Bottom