hakuna binadamu mwenye uwezo wa kuzuia kifo.Hawa ni majemedari ambayo wamehakikisha katika uwanj wa vita mpaka sasa hakuna kifo kwa mateka wao yoyote. Hakika kuishi kwingi kuona mengi. Acha watawale wanajua thamani ya roho za watu wao. Kagame amekomboa mateka 65 kati ya 143 bila matokeo ya kifo. Naye Museveni amekomboa mateka 20 kati ya mateka 55 bila matokeo ya vifo. Hakika kazi wanaiweza vizuri sana.
Hawa ni majemedari ambayo wamehakikisha katika uwanj wa vita mpaka sasa hakuna kifo kwa mateka wao yoyote. Hakika kuishi kwingi kuona mengi. Acha watawale wanajua thamani ya roho za watu wao. Kagame amekomboa mateka 65 kati ya 143 bila matokeo ya kifo. Naye Museveni amekomboa mateka 20 kati ya mateka 55 bila matokeo ya vifo. Hakika kazi wanaiweza vizuri sana.
Hayo ni majungu, mkuu. Tujikite kwenye takwimu halisi zitokazo uwanja vita.Kigali na kampala wanakufa njaa
Majumbani
Wananchi wa haya majiji wakiona comment yako hii wanakuchuna ngozi ukiwa hai
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeleta faida za mpango wao,kifo hamna mtu anaweza zuia,kama wagonjwa wapo basi hamna walichokifanya cha maana ila ni bahati tuHawa ni majemedari ambao wamehakikisha katika uwanja wa vita mpaka sasa hakuna kifo kwa mateka wao yoyote. Hakika kuishi kwingi kuona mengi. Acha watawale wanajua thamani ya roho za watu wao. Kagame amekomboa mateka 65 kati ya 143 bila matokeo ya kifo. Naye Museveni amekomboa mateka 20 kati ya mateka 55 bila matokeo ya vifo. Hakika kazi wanaiweza vizuri sana.
Ndo maana hawataki kutoka madarakani.
Nchi nzima wao tu ndo wenye uwezo wa kutawala
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao Maraisi ni bora kuliko MagufuliKigali na kampala wanakufa njaa
Majumbani
Wananchi wa haya majiji wakiona comment yako hii wanakuchuna ngozi ukiwa hai
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, pongeza pale inapobidi hata kama pongezi hizo ni mwiba nafsini mwako. Huko kote ni mbali tazama takwimu za Afrika mashariki, tuungane tena kuwapongeza amiri jeshi wakuu hawa wawili kati ya 6.mahaba yamekuzidi mkuu, china, america, italia, spain kuna marais wabovu ndo maana kumekua na vifo vingi? au unawaza kwa kutumia makalio??
unapojenga hoja jitaidi kupunguza mahaba, hapo ndo akili itajenga hoja makini
hua sipongezi ujinga mkuuMkuu, pongeza pale inapobidi hata kama pongezi hizo ni mwiba nafsi mwako. Huko kote ni mbali tazama takwimu za Afrika mashariki, tuungane tena kuwapongeza amiri jeshi wakuu hawa wawili kati ya 6.
labda wameona wawe wana mute pale vifo vinapotokea. those 2 dudes have got at least one thing in common.Hawa ni majemedari ambao wamehakikisha katika uwanja wa vita mpaka sasa hakuna kifo kwa mateka wao yoyote. Hakika kuishi kwingi kuona mengi. Acha watawale wanajua thamani ya roho za watu wao. Kagame amekomboa mateka 65 kati ya 143 bila matokeo ya kifo. Naye Museveni amekomboa mateka 20 kati ya mateka 55 bila matokeo ya vifo. Hakika kazi wanaiweza vizuri sana.
Mbona hatujasikia misiba ya watu waliokufa kwa njaa Africa mpaka sasaKigali na kampala wanakufa njaa
Majumbani
Wananchi wa haya majiji wakiona comment yako hii wanakuchuna ngozi ukiwa hai
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hatujasikia misiba ya watu waliokufa kwa njaa Africa mpaka sasa
Sent using Jamii Forums mobile app