OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Ata Mimi nashiriki ya kuwafunga maisha!
Na kazi ngumu!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata Mimi nashiriki ya kuwafunga maisha!
Unaposema nilitaka kupata mawazo ya kikristo ina maana kuna mengine sio ya kikristo.Ulitaka mwenyewe kupata Mawazo ya kikristo! Ukizani kwamba Labda huku Hawa Watu wameachwa tu!
Tehe teh teh!!Na kazi ngumu!!!!
Hiyo ndiyo nchi pekee Hapa EA ambayo inaonyesha imetoka kwenye ukoloni...Nibora kula majani ukiwa huru kuliko kula vinono ukiwa kifungoni...Ngoja muje muone Waganda watakavyo anza kula majani soon...
Unaposema nilitaka kupata mawazo ya kikristo ina maana kuna mengine sio ya kikristo.
Wewe unatakiwa uwe upande mmoja, huwezi kutetea pande zote kwa wakati mmoja.
Huku (nadhani ni kwenye ukristo)hawa watu hawajaachwa tu, hebu niambie wamefanywaje?
Saafi sana saasa unaelewa kumbe moral misconduct na consesus/convention ya wengi imeamua kuweka adhabu ili iwe fundisho kwa wengine sasa unatakaje tena????!!!!
Mwivi akiiba tairi ya gari utaweka spare au kununua jipya,mwanao wa kiume akiingizwa kwenye hilo kundi unazaa mwingine au unafanya nini???!!!
Ndio maana kizazi hicho ni jela tu mpaka wakome kabisa na huko iwe one cell one man,chained and totally grounded!!!!!!
Ndio kama ni kuchagua route ya kuingia huko motoni juu ya hili mimi uoande wangu ndio huo mkuu; we huridhiki na upande uliopo???!!!!
Sawa, Mungu anafahamu kuwa serikali zitaweka sheria mbaya na nzuri, kwa sababu yeye ni Omniscient.Mungu anafahamu serikali Au mamlaka zitaweka sheria zao kuongoza Watu! Ziwe mbaya Au Nzuri! Na Mwisho Wa Siku Yeye mwenyewe anakuja anamaliza mwenyewe!
Au na hapa Utakua Bado haujanielewa?
Tehe teh teh!!
Yaani kuwafunga tu haitoshi, hadi na kazi ngumu. Ila ni kwa kosa lipi hasa?
Hujanijibu hili, Hivi uzinzi, unakubalika katika aspect ipi!?, mila, dini, utamaduni, imani n,k.
Mbona hawa hupendekezi tunawafunge kifungo cha maisha jela pamoja na kazi ngumu!!???
Sasa hapo kifungoni ni wapi?Hiyo ndiyo nchi pekee Hapa EA ambayo inaonyesha imetoka kwenye ukoloni...Nibora kula majani ukiwa huru kuliko kula vinono ukiwa kifungoni...
Sawa, Mungu anafahamu kuwa serikali zitaweka sheria mbaya na nzuri, kwa sababu yeye ni Omniscient.
Je, anakubaliana na hizo sheria mbaya?
Hapa sasa ndipo unaposhindwa kupaelewa, utawekaje adhabu katika moral misconduct?
Ukitaka hivyo, itabidi uweke adhabu pia kwa wanaovaa kata k, sketi fupi, ulevi wa kupindukia na mwisho wa siku utajikuta mnashughulikia vitu vya upuuzi tu, unataka tufike huko, personal ethics and community ethics( etiquette) mustnt intergrate, pale inapotokea personal ethics zinakuwa contrary na ethics of the community, what do we do?, one's ethics should prevail, as long as them dont harm other people, this is the law of liberty.
Inaonekana kwako ushoga ni mbaya kuliko wizi, na hii inajumuisha hadi ufisadi nadhani.
Nilivyosema waafrika tumetoa kipaumbele katika ushoga kama ndio tatizo kubwa la kulishughulikia kwa nguvu zote mbona ulinibishia?
Kama freedom haitimii mpaka wakazweeee basi wakae kifungoni(uraiani) au waende wanakoona ni free na interest zao zitatimizwa!!!!!!Sasa hapo kifungoni ni wapi?
Kuruhusu wana nchi wako freedom to live as they wish au kuwafunga jela huku ukitengeneza mahusiano mabaya na wahisani?
Hawa ndo SIMBA wa AFRICA (at least katika hili) Kule Zimbabwe, Mugabe kasema "if Obama wants me to allow gay-ism in Zimbabwe, then he must first and foremost let me marry him as an example" unaweza kucheka hadi ukafa kabisa!!!!
Kifungoni ni wewe kushindwa kuamua mabo yako mwenyewe na kusubiri kupangiwa na mtu mwingine kama wewe unapangiwa na mtu mwingine jua wewe ni mtumwa wa huyo anaye kupangia(sorry na wewe ni mmoja wapo wa waathirika wa jambo hili?)Sasa hapo kifungoni ni wapi?
Kuruhusu wana nchi wako freedom to live as they wish au kuwafunga jela huku ukitengeneza mahusiano mabaya na wahisani?
Ni kweli mkuu, hapa una hoja, Lakini huoni kama hayo maamuzi ya Museven ni makubwa mno kwa kosa ambalo ni la kimaadili tu na jambo la mtu binafsi?Kifungoni ni wewe kushindwa kuamua mabo yako mwenyewe na kusubiri kupangiwa na mtu mwingine kama wewe unapangiwa na mtu mwingine jua wewe ni mtumwa wa huyo anaye kupangia(sorry na wewe ni mmoja wapo wa waathirika wa jambo hili?)
Sasa hapo kifungoni ni wapi?
Kuruhusu wana nchi wako freedom to live as they wish au kuwafunga jela huku ukitengeneza mahusiano mabaya na wahisani?
Kama unawatetea mashoga wewe pia nakuweka ktk kundi la waathirika...Kumbuka kuwa hizi tabia zimetoka huko zikaja hapa kwetu na kutokana na maadili ya hapa kwetu Africa hakuna tamaduni inayo ruhusu mapenzi ya jinsia moja kuanzia kwenye Dini mpaka kwenye serekali yetu na pia ni haki kwa museven kusain na kupinga huu mapenzi ya jinsia moja (Nachukia sa na watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja)Kama ningekuwa mm ndo mu7 ninge weka sheria ya kunyongwa kabisa na si kufungwa jela maisha mana huko watatia hasara taifa...Ni kweli mkuu, hapa una hoja, Lakini huoni kama hayo maamuzi ya Museven ni makubwa mno kwa kosa ambalo ni la kimaadili tu na jambo la mtu binafsi?
Huoni kuwa hatua kama hiyo ilipaswa kuchukuliwa kwa wenye makosa kama ufisadi, wizi, ujangili, ujambazi wa kutumia silaha na makosa mengine yenye madhsra ya moja kwa moja kwa watu wengine?(Mimi sio muathirika wa hili ila napinga hadharani kuwaua au kuwafunga jela mashoga)
Kama unawatetea mashoga wewe pia nakuweka ktk kundi la waathirika...Kumbuka kuwa hizi tabia zimetoka huko zikaja hapa kwetu na kutokana na maadili ya hapa kwetu Africa hakuna tamaduni inayo ruhusu mapenzi ya jinsia moja kuanzia kwenye Dini mpaka kwenye serekali yetu na pia ni haki kwa museven kusain na kupinga huu mapenzi ya jinsia moja (Nachukia sa na watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja)Kama ningekuwa mm ndo mu7 ninge weka sheria ya kunyongwa kabisa na si kufungwa jela maisha mana huko watatia hasara taifa...