masatujr1985
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,980
- 784
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi sikia wala kuona sheria yeyote Uganda dhidi ya wabadhirifu na mafisadi, na hata kama zipo, hazipewi kipaumbele kama hawa mashoga, OLESAIDIMU , hivi ushoga ni nini hasa!?, hadi Museven anataka eti kupitisha adhabu ya kifo, can it dwell in your mind!?
Hii ni kana kwamba, kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni kitu kikubwa na cha ajabu mno ambacho hastahili hata kuishi akikifanya,
Hii inakuingia akilini??, huo mwili sio wa kwake??, nimeuliza swali hujajibu, mimi na partiner wangu tukiamua kufanya mapenzi ya mdomo tu (oral sex)tufungwe jela kwa sababu Museven amesema not engineered for sex!?
Viongozi wa Afrika wameshindwa kukomesha rushwa, ufisadi, ujangili na mambo mengine ya uhujumu, na wala hatujasikia wakiitisha press conference wakionyesha hasira zao na kusaini sheria kali dhidi wa vitu vya aina hiyo, nchi zinaendelea kutopea katika umasikini, eti kipaumbele chao ni kupambana na ushoga na nguo fupi, eti ndio viongozi bora!!
Mkuu mimi sio shoga, lakini mtu akiniita shoga hata mara mia nane hawezi kunioffend, ushoga kwangu ni sawa tu na uzinzi wa kawaida,
Mimi ninayefanya mapenzi ya kawaida na yule anayefanya kinyume na maumbile kama kuna moto wote tutaenda jehanamu, what is so special hadi niwe na hasira na shoga hadi nitamani kumuua?, pitisheni basi hata mtu akifanya mapenzi nje ya ndoa au kabla ya ndoa naye auliwe, au hiyo ni maadili ya kiafrika!??
You are the one who have a mental problem, hivi hakuna wanaume wa kiafrika wanaofanya mapenzi na wake zao kinyume na maumbile!?
Tell me the difference if you dont have a mental problem.
huyu rais dikteta hamna kitu, michezo ya wanasiasa hii, jamaa anatafuta pa kuoshea jina, kwakuwa M23 wamemshinda na hali imekuwa mbaya nchini kwake. mcheki hata sura yenyewe haionyeshi kuchukizwa, sura kama anayeshabikia hivi. na hajui kwa kuizungumza tu anaupromoti. bora angekaa kimya tu na kusaini kimyakimya.hawezi kukabili mabadiliko.urais umekuwa sio mrais tena kwake, umemshinda asepe tu.Wameshajua shida yenu ni kupambana na ushoga tu hamna haja na wezi wa radilimali zenuMbona kina Obama na Cameroon mataifa Yao hawasaini sheria mataifa Yao yasiwe maficho ya majizi ya Pesa zetu huku? Wanatushinikiza kuikubari sheria ya kugegedana Lkn Pesa zetu wanazitaka sio?
kuna kitu kimoja watu kama ww hamuelewi...leo hii obama akisema ufisadi ni halali.utakaa ndani usionyeshe msimamo wako jus bcoz kuna makosa mengine kama uongo...wizi...uzinzi havijaongelewa kwenye sheria??
response ya africans in relation to homosexuality imetokana na western pressure kuimpose iyo kitu
hakuna ambae angepoteza mda wake kuongelea ushoga kama kucngekua na pressure kutoka nchi za ulaya na marekan kusupport.
kama ww unaona haina umuhim wa nchi za kiafrika kukataza ushoga coz kuna mambo muhimu zaidi ya kufanya....sasa hao wanaosupoort kwa kutumia nguv nyingi na mda je kwao ushoga ndo jambo muhimu??kama si la muhim kwann waweke pressur kubwa hivyo??wat ar they gettin ebu jiulize kwanza
Nyie ndiyo mnatumia maandiko vibaya, inamaana watawala wakisema hamuna kusali wote muabudu freemason mtaabudu tu kwa sababu ni mamlaka?Teh Teh Teh!
Ndugu yng Mjuni Lwambo Maandiko yanasema tuzitii mamlaka zilizopo!
Serikali ya Uganda ni mamlaka kamili! Wamepitisha sheria ya adhabu kwa yoyote ile dhidi ya mashoga ni vema kuitii!
If Obama want me to accept homosexual marriage, I should marry him first to show a good example to the whole world. Mugabe said
Very wise of you EMT​.Who am I to judge the sexual orientation of other people?
Umeelewa ulichokiandika mkuu?, sheria kuhusu vitu kama ufisadi havijapewa meno, lakini tuko mstari wa mbele kutunga sheria kali kwenye ushoga, huoni kama ni dosari?Na hakuna ufisadi unaoweza fanyika Africa bila hayo madola makubwa Kua nyuma!
Sasa cha kushangaza sheria za ufisadi zinakosa meno mpk kwa hao wafadhili wetu Lkn ushoga ndio wanaukomalia! Jitambue Mjuni Lwambo
Teh Teh Teh Teh
Nyie ndiyo mnatumia maandiko vibaya, inamaana watawala wakisema hamuna kusali wote muabudu freemason mtaabudu tu kwa sababu ni mamlaka?
Umeelewa ulichokiandika mkuu?, sheria kuhusu vitu kama ufisadi havijapewa meno, lakini tuko mstari wa mbele kutunga sheria kali kwenye ushoga, huoni kama ni dosari?
hutaki kujitangaza tu !
Nyie ndiyo mnatumia maandiko vibaya, inamaana watawala wakisema hamuna kusali wote muabudu freemason mtaabudu tu kwa sababu ni mamlaka?
Kwa hili endapo USA wakishambulia Uganda kisa Uganda wamepitisha sheria hiiya kuzuia uovu...basi, kama sitakuwa nimekabiliwa na majukumu mazito sana ya kitaifa, nitakwenda kwa ela yangu kupigana na USA nikiwa upande wa Uganda, na hii nina aapa ( I swear).
Tende halua halua ndio nini mkuu?Mjuni declare interest. Wewe ni tende halua halua au!?