Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Women empowerment sio jumla kama unavyotaka ieleweke hapa!!!!Nilimaanisha "women empowerment", africans waliona ni kitu cha ajabu sana, lakini sasa hivi akina OLESAIDIMU wakiambiwa haki za wanawake wala hawashtuki, hata ushoga ni hivyo, its just a matter of time.
Rais Yoweri Kaguta Museveni leo saa 5 atatia saini muswada wa mashoga kuwa sheria,kwa mujibu wa msemaji wa chama chake cha NMR Bw.Ofwono Opondo.
Baada ya kelele na shinikizo nyingi toka nchi za magharibi na Marekani kuwa muswada huo ukisainiwa unaweza kuathiri mausiano ya Uganda na nchi zao,kwa madai eti unakiuka haki za binadamu
Museveni anatarajiwa kuhusaini muswada huo mbele ya waandishi wa habari na hasa wa jumuia ya kimataifa ili kutoa ujumbe mzito,kuwa Uganda ni nchi huru inayopashwa kujiamulia mambo yake bila shinikizo lolote toka kwa nchi wahisani.
Museveni ameenda mbali zaidi na kusema kama vipi ataimalisha uhusiano na Urusi ambao hawajiingizi kwenye siasa zao.
Muswada huo unaotoa adhabu ya kifungo cha maisha kwa yeyote atakayebainika kujiusisha na vitendo vya ushoga ulipitishwa na Bunge la Uganda mnamo tarehe 20 Dec 2013
Source: New Vision
Hata mimi nahamia huko UG.
God Bless you Presdent Museven, God Bless UGANDA.
Sijawahi sikia wala kuona sheria yeyote Uganda dhidi ya wabadhirifu na mafisadi, na hata kama zipo, hazipewi kipaumbele kama hawa mashoga, OLESAIDIMU , hivi ushoga ni nini hasa!?, hadi Museven anataka eti kupitisha adhabu ya kifo, can it dwell in your mind!?Kwani adhabu ya hao unaowataja ikoje mpaka uone mashoga wanaonewa????!!!!
Yaani Uganda kuchezea mali ya umma haina adhabu? ??!!! Huyu Museveni aliyeichukua nchi kwa mtutu asiwe na sentence kwa makosa haya HAIWEZEKANI mkuu hata kwa fraction of a second!!!!Sijawahi sikia wala kuona sheria yeyote Uganda dhidi ya wabadhirifu na mafisadi, na hata kama zipo, hazipewi kipaumbele kama hawa mashoga, OLESAIDIMU , hivi ushoga ni nini hasa!?, hadi Museven anataka eti kupitisha adhabu ya kifo, can it dwell in your mind!?
Hii ni kana kwamba, kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni kitu kikubwa na cha ajabu mno ambacho hastahili hata kuishi akikifanya,
Hii inakuingia akilini??, huo mwili sio wa kwake??, nimeuliza swali hujajibu, mimi na partiner wangu tukiamua kufanya mapenzi ya mdomo tu (oral sex)tufungwe jela kwa sababu Museven amesema not engineered for sex!?
Viongozi wa Afrika wameshindwa kukomesha rushwa, ufisadi, ujangili na mambo mengine ya uhujumu, na wala hatujasikia wakiitisha press conference wakionyesha hasira zao na kusaini sheria kali dhidi wa vitu vya aina hiyo, nchi zinaendelea kutopea katika umasikini, eti kipaumbele chao ni kupambana na ushoga na nguo fupi, eti ndio viongozi bora!!
Mkuu mimi sio shoga, lakini mtu akiniita shoga hata mara mia nane hawezi kunioffend, ushoga kwangu ni sawa tu na uzinzi wa kawaida,
Mimi ninayefanya mapenzi ya kawaida na yule anayefanya kinyume na maumbile kama kuna moto wote tutaenda jehanamu, what is so special hadi niwe na hasira na shoga hadi nitamani kumuua?, pitisheni basi hata mtu akifanya mapenzi nje ya ndoa au kabla ya ndoa naye auliwe, au hiyo ni maadili ya kiafrika!??
Women empowerment sio jumla kama unavyotaka ieleweke hapa!!!!
Wanawake wa maeneo,umri,kipato,elimu,marital status tofauti wana mahitaji tofauti mkuu so sio suala la Jumla kama inavyosemekana!!!!! Halafu women empowerment iko positive kwenye production,reproduction na consumption ambazo ndio key roles za familia so it is an aspect of political,social,cultural and economic development!!!!!!!
Hivyo basi na wanaume tuna expectation zetu tofauti kwa jamii na jamii ina expectations kutoka kwetu,mind you hapa ni Afrika mkuu so mwanaume kuwa shoga haipo especially East Africa ongelea norms,values,belief,tradition na kila aspect ya
culture inagoma!!!!
Huo ushoga unaoutetea ni kwa lipi hasa????!!!
Yaani Uganda kuchezea mali ya umma haina adhabu? ??!!! Huyu Museveni aliyeichukua nchi kwa mtutu asiwe na sentence kwa makosa haya HAIWEZEKANI mkuu hata kwa fraction of a second!!!!
Mkuu dini zote hazitaki, mila za kiafrika hazitaki, watu wengi hawataki mfano soma komenti humu kama a random sample!!!!!!
Sio kitu cha ajabu tu ni laana kabisa!!!!!!
Wewe na mpenzi wako mkifanya kwa mdomo mnakuwa mmeharibu norm,belief, au nini katika culture???!! Imani moja kumbuka inakataza "oral sex" unajua hilo????!!!!!
Wameshindwa mengi lakini hili wameamua kuliweka kwenye rekodi kuwa waliweka sheria ya kukataa!!! Hata wewe una failures nyingi lakini umeweka bayana kuwa mdomo wako na makwapa hayatakaa yatoe harufu mbaya kwa mfano!!!!Au say huwezi mlisha mwanao bila kunawa mikono!!! Sasa nao hili wameliamulia kwa minajili hiyo!!!!
Mtu akikuita shoga utachukulia poa sawa; na vipi akikutaka kimapenzi yeye a play "role" ya kiume????!!!
Women empowerment ilipingwa sana tu, lakini ikajulikana kuwa ilikuwa ni kwa sababu ya ignorance, now it is acceptable.
Mimi sitetei ushoga, kama ambavyo napinga uzinzi wa kawaida, ninachopinga ni kuwaua au kuwafunga jela, mkuu nipe sababu moja ya maana ya kucriminalise,
Usiniambie eti sio utamaduni, utamaduni sio static na unabadilika kila kukicha, utamaduni uko associated na imani tu na mambo mengine ya kimila tu, haiwezi kuwa ni lazima mtu kufuata utamaduni, kama una idea hata kidogo ya Anthropolgy unaweza kunielewa.
Halafu mimi huwa nashangaa watu wengine, wanakuambia eti kuvaa nguo fupi sio utamaduni wetu, hivi hawa wana idea japo hata kidogo ya utamaduni wa Afrika?
Usiniambie eti imani za dini zetu, labda uniambie pia kuwa kutofuata mafundisho ya dini ni kosa la jinai?
Naomba uniambie mkuu, ushoga kwako ni nini hasa hadi umpe ushujaa kiongozi anayeupinga!??
Kuhusu elimu hilo ondoa shaka!!!!!!Anthropology ipo hapa hata Sociology pia!!!!!!
1. Women empowerment kama unaielewa basi ni suala mtambuka sana sababu ya special needs sasa mainstreaming iliyokuja na western package ilikuwa lazima iwe unpacked kuwezesha kutumika sehemu husika ndio maana unaposema baba wa kimasai akakamue maziwa wakati anasubiri jua lizame awe alert kupambana na predators huyu hatokuelewa asilani sababu ya division of labour based on sex and age!!!!! Mismatch based on context and modes of production is/ was an issue sio ignorance hata kidogo!!!!!
2. Umeshawahi kukutana na maneno sacred and profane???!!!! Ukiyajua haya we lete philosophical acrobats zote za dynamic versus static hapo ndio mwisho wao!!!!!
3. Kuhusu mavazi mkuu kuna adoption na adaptation sasa culture inakubali kurithi,kutambua,kubadili na hata kufuta kabisa baadhi ya aspects ili mradi wale wanoongozwa na culture husika wanakubaliana "cultural consesus" hivyo basi pamoja na kuwa hatukuwa na mavazi waafrika tulipoyakubali tulijiwekea mipaka na ndio maana wewe huvai chupi za mkeo au kwenda kazini na pajama zako!!!!!
4. Ushoga kwangu ni nini??!!; well ooerational definition ya hili neno hapa lazima iwe ile waliyotumia kutunga sheria husika laa kila mtu akileta yake tutajadili nini sasa wakati itakuwa hatuna yardstick???!!!
Mimi naona ushoga dili tena???!!!Nitake radhi mkuu!!!! Hebu pitia sacred and profane concept then utajua hao viongozi na sie tunaopinga nini kigezo chetu kwa African context!!!!!!!
Kwa hiyo angekubaliana na ushoga ndio umasikini ungeisha,mfumuko wa bei ungepungua,huduma za afya na elimu zingeboreka????!!!!!
Sikujua kama mashoga wako wengi kiasi hiki!!!!!!!