Museveni responds to Obama on anti-gay bill

Museveni responds to Obama on anti-gay bill

Sasa wakifungwa kifungo cha maisha si ndo watakuwa wamepewa nafasi ya kubanjuana vizuri?!-I wish could be death by hanging in public.

Hapo tu ndipo bunge la Uganda limenishangaza. Wakiwa gerezani ndiyo wataolewa kabisa. Ilipaswa death penalty.
 
wafungwe tu wakafanyie huko huko gerezani kuliko huku mtaani watuharibie vijana. hongera rais museveni sign haraka muswada huo
 
Katika hili la kuupinga ushoga, museven amefanya maamuzi ya kiume.viongozi wengine duniani,na hasa nchi za africa hawanabudi kumuunga mkono.
ushoga na usagaji wao wabakie nao hukohuko kwao.
Tena kama ndio ningekuwa mie museven, ningemwambia oo-baa-ma akaolewe na mashoga wenzake. ------- kabisa#**#@
 
we should have a president like this one! one with a very firm stand for his people, committed not to be subjected under the western powers, like independent views, opinions and decisions

wel done presidar!
 
Huko ndio kumtii Mungu na kumwogapa Mungu kuliko kitu mtu/kit kchochote kile!Hongera baba na umfano mzuri wa kuigwa.AF tutafuata nyazo zako
 
mkuu, unajua sasa naanza kumuona museveni kama moja kati ya majembe ya bara hili ambae hapelekeshwi na nchi za magharibi. yeye akisema kulia ni kulia, au kushoto ni kushoto. mugabe juzi kati nae alitoa kauli nzuri sana. sasa sijui Rais wetu naye akija kupata shinikizo kama la mugabe na museveni sijui na yeye atakuwa upande gani. tusubiri tuone
 
........... haya ni moja kati ya maamuzi magumu kusema na ukweli safi sana mu7
 
Museveni Leo amesaini sheria Mpya ya kuutokomeza kabisa ushoga nchini Uganda, kwa hili nakusifu Sana mdogo wa Mugabe! Tanzania tujifunze kupitia wenzetu!! Say no to anal sex
 
Bado serikali ya Mh. wa Kukenua na P.M wake wa Kulialia hovyo.
Serikali yangu viongozi wake vituko kweli.Mmoja kazi yake kuchekacheka kila wakati, Makamu wake muda wote kanuna, P.M yeye Analia kila wakati na kushindwa kuzuia kauli mbaya, kwenye Baraza, wafoji vyeti wamejaa tele!Unategemea wataweza kuiga ya Mugabe na Mu7?
 
Museveni Leo amesaini sheria Mpya ya kuutokomeza kabisa ushoga nchini Uganda, kwa hili nakusifu Sana mdogo wa Mugabe! Tanzania tujifunze kupitia wenzetu!! Say no to anal sex
mseveni hana mda wa kujipendekeza kwa obama
 
Back
Top Bottom