Museveni responds to Obama on anti-gay bill

Museveni responds to Obama on anti-gay bill

misaada misaada misaada hilo ndio kitakuwa kiama chetu waafrica kupenda kusaidiwa wakati tunao uwezzo wa kujisaidia sisi wenyewe the only reason Museveni anasita kusaini document ni kwa sababu ya hofu hiyo ya kukosa misaada. jk naye aliochanganyikiwa na kushindwa kujibu maswali ya CNN ni kwa sababu hiyo hiyo ya misaada kwahiyo viongozi wa ki afrika sijui wataamka lini kuanza kuweka mikakati mapema TO SAVE OURSELVES FROM AID CULTURE MENTALITY, Tujiwekee angalau miaka 10 ya kujipanga ili kuondoka na misaada kwani siwezi kushangaa itafika mahali ulaya itatuambia tuchague RAIS GAY bila hivyo tusahau mark my words
 
Siku zote wazungu wamesha tuona sisi weusi ni kama wanyama. Wanatuendesha kwa remote. Misaada itasababisha hata tuambiwe kuoa wanyama kama mbwa na mbuzi na iwekwe kwenye katiba. Rais wangu kikwete ukiona maji yamefika kwa shingo wewe pitisha mswaada uwe sharia ili tupate misaada ambayo ndio inatuweka mjini.
 
Hawa ndo SIMBA wa AFRICA (at least katika hili) Kule Zimbabwe, Mugabe kasema "if Obama wants me to allow gay-ism in Zimbabwe, then he must first and foremost let me marry him as an example" unaweza kucheka hadi ukafa kabisa!!!!


Huyu Mugabe pamoja na mambo yake mengine ambayo amechemka, huwa ni mtu ambaye hana woga wowote...

Afrika tunahitaji viongozi kama hawa na especially sasa hivi ambapo scramble for Africa part 2 inaendelea!

Mugabe aliwahi kumpiga bomu G W Bush Jr na Tony Blair...."..In this world, it seems like there is only one God - Mr GW Bush and his prophet Tony Blair..." na pia alimfukusha Blair kwenye mkutano SA kwa kumwambia Blair kuwa..."Mr Blair, please keep you GB and I will keep my Zimbabwe"
 
that is a president talking, angekuwa mswahili wetu anacheka harafu jamii yetu haijawa tayari, sijui itakuwa tayari lini, ambapo ni kama kusema iko siku tutakuwa tayari wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake, haipo hiyo siku so be firm mr nazi
 
kenya walikataa hii kitu na misaada ni 5% kwa bajeti yao bado wanajenga flyover na bandari mpya zetu wenye 58%zinakufa daily hakuna anayejali,tunahitaji dikteta kama kagame jamani,cheki rwanda,sekta ya afya,barabara na uchumi uone,msiseme eti kale kadogo,uongozi mzuri unaonekana tu
 
SECTION 154 of united republic of TANZANIA The penal code chapter 16 of laws principal legislation(revised edition of 2002) PROVIDE THAT (1) ANY PERSON WHO-(A)HAS CARNAL KNOWLEDGE OF ANY PERSON AGAIST THE ORDER OF NATURE;OR(B)HAS CARNAL KNOWLEDGE OF AN ANIMAL;OR (C)PERMITS A MALE PERSON TO HAVE CARNAL KNOWLEDGE OF HIM OR HER AGAIST THE ORDER OF NATURE, COMMITS AN OFFENCE,AND IS LIABLE TO IMPRISONMENT FOR LIFE AND IN ANY CASE TO IMPRISONMENT FOR A TERM OF NOT LESS THAN THIRTY YEARS.TZ OYEEEEE
ALPHRED MAHUNJA au yeyote yule, naomba link ya hii sheria niisome in full!
 
Last edited by a moderator:
I have seen the statement H.E President Obama of the USA made in reaction to my statement that I was going to sign the anti-homosexual Bill, which I made at Kyankwanzi.

Before I react to H.E. Obama’s statement, let me, again, put on record my views on the issue of homo-sexuals (ebitiingwa, bisiyaga in some of our dialects). Right from the beginning of this debate, my views were as follows:

1. I agreed with the MPs and almost all Ugandans that promotion of homosexuality in Uganda must be criminalized or rather should continue to be criminalized because the British had already done that;

2. those who agreed to become homosexuals for mercenary reasons (prostitutes) should be harshly punished as should those who paid them to be homosexual prostitutes; and

3. exhibitionism of homosexual behavior must be punished because, in this part of the World, it is forbidden to publicly exhibit any sexual conduct (kissing, etc) even for heterosexuals; if I kissed my wife of 41 years in public, I would lose elections in Uganda.

The only point I disagreed on with some of the Members of Parliament (MPs) and other Ugandans was on the persons I thought were born homosexual. According to the casual observations, there are rare deviations in nature from the normal. You witness cases like albinos (nyamagoye), barren women or men (enguumba), epa (breastless women) etc.

I, therefore, thought that similarly there were people that were born with the disorientation of being attracted to the same sex. That is why I thought that that it was wrong to punish somebody on account of being born abnormal. That is why I refused to sign the Bill and, instead, referred it to our Party (the NRM) to debate it again.

In the meantime, I sought for scientific opinions on this matter. I am grateful to Ms. Kerry Kennedy of the USA who sent me opinions by scientists from the USA saying that there could be some indications that homosexuality could be congenital. In our conference, I put these opinions to our scientists from the Department of Genetics, the School of Medicine and the Ministry of Health.

Their unanimous conclusion was that homosexuality, contrary to my earlier thinking, was behavioural and not genetic. It was learnt and could be unlearnt. I told them to put their signatures to that conclusion which they did. That is why I declared my intention to sign the Bill, which I will do.

I have now received their signed document, which says there is no single gene that has been traced to cause homosexuality. What I want them to clarify is whether a combination of genes can cause anybody to be homosexual. Then my task will be finished and I will sign the Bill.

After my statement to that effect which was quoted widely around the World, I got reactions from some friends from outside Africa. Statements like: “it is a matter of choice” or “whom they love” which President Obama repeated in his statement would be most furiously rejected by almost the entirety of our people.

It cannot be a matter of choice for a man to behave like a woman or vice-versa. The argument I had pushed was that there could be people who are born like that or “who they are”, according to President Obama’s statement. I, therefore, encourage the US government to help us by working with our Scientists to study whether, indeed, there are people who are born homosexual. When that is proved, we can review this legislation.

I would be among those who will spearhead that effort. That is why I had refused to sign the Bill until my premise was knocked down by the position of our Scientists.

I would like to discourage the USA government from taking the line that passing this law will “complicate our valued relationship” with the USA as President Obama said. Countries and Societies should relate with each other on the basis of mutual respect and independence in decision making.

“Valued relationship” cannot be sustainably maintained by one Society being subservient to another society. There are a myriad acts the societies in the West do that we frown on or even detest. We, however, never comment on those acts or make them preconditions for working with the West.

Africans do not seek to impose their views on anybody. We do not want anybody to impose their views on us. This very debate was provoked by Western groups who come to our schools and try to recruit children into homosexuality. It is better to limit the damage rather than exacerbate it.

I thank everybody.






Source; The Observer (news paper)

My take: rais wa nchi lazima kuwa na msimamo hasa kwa jambo nyeti kama hili.........wakwetu yeye alishindwa hata kuuambia ulimwengu nini msimamo wake (wa Tanzania) juu ya gay\lesbian issue alipohojiwa na Amarnpour wa CNN.
Hapo mu 7 kawafungulia njia wale waoga. Tumuunge mkono kwa nguvu. Hawa wazungu tuwaambie wasitulee ushenzi wao. Hata pale watakapokua na marais wa-se-nge na mabasha zao ikulu tukiwa na watu kama akina mu7 na mzee mugabe sisi hawatupati kwenye ushenzi huo.
 
Njia ilishafunguliwa muda mreeeefu na Rais Good Luck wa Nigeria....yeye hakuhitaji scientific proof...alimwaga wino tu...

Afu wa Naija walivyo na jeuri wanamwambia Good Luck hao wazungu wasikutishe...wakikuwekea ngumu timua kwenye mafuta yetu...eti Canada walikatisha ziara yake baada ya ku sign hiyo anti gay bill....wapopo wakasema we need them as much as they need us...wakikutenga tu watenge na mafuta yetu....


Watu wanajua kuchangamkia fulsa...wapopo walipanga foleni ubalozi wa Netherlands eti wanaomba hifadhi kwa kuwa wao mashoga....tete wakati majority inasemekana walikuwa straight...

Kwa nini wana impose values zao kwetuuuuu????????????????

Hapo mu 7 kawafungulia njia wale waoga. Tumuunge mkono kwa nguvu. Hawa wazungu tuwaambie wasitulee ushenzi wao. Hata pale watakapokua na marais wa-se-nge na mabasha zao ikulu tukiwa na watu kama akina mu7 na mzee mugabe sisi hawatupati kwenye ushenzi huo.
 
Obama kasahau kwamba naye anapaswa kuenzi mila za asili ya kwao ujaluoni, kageuka vuvuzela la wazungu.Yeye ni F1 hybrid na sio mbali sana na Ujaluo.
 
Though it was a polite yet a diplomatic but the fact is Africans view should not be under rated by West Countries especially USA.

Congratulation President Y.K> Museveni.
 
Nasikia Malawi ndoa za jinsia moja ruksa...te te te ...njaa mbaya sana
 
Inawezekana kikwete keshaanguka signature long time ninawasiwasi sana aisee mbona wamemwandama m7 tu ina maana yeye tu ndiye aliyekataa hayo makitu
 
M7 si kasaini....sisi tunakataa kimya kimya...tuna sheria ya mkoloni ambayo imekataza ushoga ...lakini hatujatunga sheria mpya kuzuia wala kuukubali ushoga...Na hatujawahi kuona sheria iliyopo ikitekelezwa...hakuna shoga alofungwa hapa Tz

Kama hiyo haitoshi wao wafadhili (partners...lol) wanataka tuweke wazi kisheria kuwa ndoa za jinsia moja ruksa kama walivyofanya Malawi na South Afrika na wababaikaji wengine....


Inawezekana kikwete keshaanguka signature long time ninawasiwasi sana aisee mbona wamemwandama m7 tu ina maana yeye tu ndiye aliyekataa hayo makitu
 
Museveni said:
1. I agreed with the MPs and almost all Ugandans that promotion of homosexuality in Uganda must be criminalized or rather should continue to be criminalized because the British had already done that;

How can he say that he wants the West to respect \African opinion and African stands when he starts his argument by saying that the reason for him to continue to criminalise homosexuality in Uganda is because the British had already done it? #SlaveMentality! EMT na Udadisi ningependa tudebate hili...


 
Last edited by a moderator:
Huyu ndiyo rais, si huyu mbongo muvi wetu ambaye kila kukicha yeye ni kucheka tu na kutalii. Kutoa maamuzi yaliyo sahihi anashindwa, ila ukiiba kuku wa jirani kwa njaa yeye atapendekeza ufungwe miaka miwili jela. Sodoma na Gomora iliyayuka kutokana na ujinga kama huu wa waname kutaka kuwa wanawake.
 
Back
Top Bottom