Museveni responds to Obama on anti-gay bill

Museveni responds to Obama on anti-gay bill

si unamjua mkulo wetu anavyopenda ile kitu natural natural hili balaa angeitisha press conference kulikataa mbele ya wazee wa DAR ES SALAAM!

Wapi Kikwekwe???? Una ubavu huo? Thubutu!
Kama una maana ya Rais Kikwete, mbona kulingana na link hapo chini alitoa msimamo butu. Siko impressed na alichosema. Ni kama alimaanisha, "tunahitaji muda kukubaliana nanyi" wakati Museveni ameweka wazi kuwa "si asili ya mwanadamu kuwa hivyo, kwa hiyo hatukubaliani nanyi". Kikwete alipaswa kuwa bolder kuliko Museveni, given nchi anayoiongoza. Lakini majibu yake, personally yamenisikitisha sana!

"Itachukua muda kwa watu wetu kukubaliana na tamaduni za watu wa magharibi, nakumbuka Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron aliwahi kuzungumza sana kuhusu suala hilo na likaleta shida na tafrani kubwa kwa watu wetu," alisema.

"nafikiri kwa watu wetu sidhani kama huu ni muda muafaka wa kujadili suala hilo,hatulitaki na halikubaliki" alisema alipokuwa akihojiwa na mtangazaji wa CNN, Christiane Amanpour.

Amannpour alitaka kujua msimamo wa Rais Kikwete kuhusu haki za mashoga na harakati zinazofanywa ili kuufaya ushoga kama moja ya haki za msingi za binadamu.

Source
 
Waganda wangeweza kutumia muda huu wa muswada wa ungese kujadili mambo ya maendeleo na kujipunguzia umaskini knowing kwamba 84% ya vijana wa Uganda hawana ajira. Sasa mijitu mizima ina diskas ungese mwezi mzima kutumia hela ya mlipa kodi. Why do african leaders address trivial issues instead of addressing poverty diseases education etc
 
Hawa ndo SIMBA wa AFRICA (at least katika hili) Kule Zimbabwe, Mugabe kasema "if Obama wants me to allow gay-ism in Zimbabwe, then he must first and foremost let me marry him as an example" unaweza kucheka hadi ukafa kabisa!!!!

Hiyo statement ya Mugabe ni kiboko, nimecheka mpaka. Lakini kwa hili nimependa sana boldness ya Museveni na old man Mugabe
 
Waganda wangeweza kutumia muda huu wa muswada wa ungese kujadili mambo ya maendeleo na kujipunguzia umaskini knowing kwamba 84% ya vijana wa Uganda hawana ajira. Sasa mijitu mizima ina diskas ungese mwezi mzima kutumia hela ya mlipa kodi. Why do african leaders address trivial issues instead of addressing poverty diseases education etc

Vipi ww ni ngese pia? Naona unatetea hivo! sasa taifa la mangese unajua shida yake ama hufuati dini wewe?
 
SECTION 154 of united republic of TANZANIA The penal code chapter 16 of laws principal legislation(revised edition of 2002) PROVIDE THAT (1) ANY PERSON WHO-(A)HAS CARNAL KNOWLEDGE OF ANY PERSON AGAIST THE ORDER OF NATURE;OR(B)HAS CARNAL KNOWLEDGE OF AN ANIMAL;OR (C)PERMITS A MALE PERSON TO HAVE CARNAL KNOWLEDGE OF HIM OR HER AGAIST THE ORDER OF NATURE, COMMITS AN OFFENCE,AND IS LIABLE TO IMPRISONMENT FOR LIFE AND IN ANY CASE TO IMPRISONMENT FOR A TERM OF NOT LESS THAN THIRTY YEARS.TZ OYEEEEE
 
Section 155 of tanzania penal code provide that any person who attempts to commit any of the offences specified under section 154 commits an offence and shall on conviction be sentenced to imprisonment for a term of not less than twenty years.remember s. 154 of penal code is provide that an offences of homesexual it's penalt is imprisonment for life.
 
Vipi ww ni ngese pia? Naona unatetea hivo! sasa taifa la mangese unajua shida yake ama hufuati dini wewe?

Mie nna dini. siupendi ungese mara mbili zaidi yako wewe. Ungese ni uhalifu mbele ya binadam na dhambi mbele za MUNGU. Swala ni kwamba Uganda kuna uhalifu mkubwa zaidi ya ungese ambao ni kosa la jinai hata kuutaja. hii ni sawasawa na kutumia nguvu nyiiiingi kumtoa daktari makucha au kuwapiga mabomu CHADEMA waqt tembo wanaangamiabkwa mamilioni. au kutoa posho ya laki tatu kwa mjumbe wa nini sijui waqt mama zetu. dada zetu na wake zetu wanalala sitabkwa kitanda moja pale Temeke hosp. wakienda kuongeza nguvu kazi ya kesho yaani kuzaa. looks like a nation with no vision
 
Safi sana museveni.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Hawa ndo SIMBA wa AFRICA (at least katika hili) Kule Zimbabwe, Mugabe kasema "if Obama wants me to allow gay-ism in Zimbabwe, then he must first and foremost let me marry him as an example" unaweza kucheka hadi ukafa kabisa!!!!

Hii nimeipenda hii!!!! Sio huyu wetu anajing'atang'ata!!!!
 
Hawa ndo SIMBA wa AFRICA (at least katika hili) Kule Zimbabwe, Mugabe kasema "if Obama wants me to allow gay-ism in Zimbabwe, then he must first and foremost let me marry him as an example" unaweza kucheka hadi ukafa kabisa!!!!

Nimecheka hadi valuu imenipalia
 
I am proud of that man Yoweri kaguta did you see how he reacted on Obamas delegates lam worried if this SMS could be sent to TZ. Wote chali nani angesema
 
Very well said.

President Yoweri Kaguta Museveni's statement worth being supported by all Africans. Africa is the free continent and USA is not the world keeper. Africa have their own cultures and decisions about their sovereign countries should and must be made by their own people as long as they are democratically made. How would America react if Africans asked them to drink raw blood like some tribes do? It is time African leaders stood up and said no to western pressure.
 
Back
Top Bottom