Museveni responds to Obama on anti-gay bill

Museveni responds to Obama on anti-gay bill

Bado serikali ya Mh. wa Kukenua na P.M wake wa Kulialia hovyo.
Serikali yangu viongozi wake vituko kweli.Mmoja kazi yake kuchekacheka kila wakati, Makamu wake muda wote kanuna, P.M yeye Analia kila wakati na kushindwa kuzuia kauli mbaya, kwenye Baraza, wafoji vyeti wamejaa tele!Unategemea wataweza kuiga ya Mugabe na Mu7?

Kwani ushoga kauleta JK? Si ni kiherehere cha wachache wanaotaka sasa iweje yeye abebe lawama. Hata hiyo sheria huko Uganda usitegemee hiyo sheria kuondoa ushoga!Hafu acheni kuilaumu serikali kwa mambo ambayo hayana msingi. Mfano wewe mwanao akiacha kusoma shule kwa makusudi utamlaumu JK au Pinda?
 
teh....teh....teh.....teh.....teh..... mimi bado sina jibu la moja kwa moja kwa sababu nafahamu kuwa wazungu ni watu wenye akili sana, sasa ni kwa nini wanahamasisha jambo hili bado najiuliza, lakini pia nafahamu kuwa kuna wanawake ukipiga nao mechi wanakupa na upande wa pili ndiyo wanaridhika, na kuna wanaume wapo tayari hata kuhonga pesa ili wakaliwe tigo, tena wengine ni matajiri, wengine ni wasomi, wengine ni watu wenye madaraka makubwa wengine ni watu wenye nguvu ambao huwezi kusema wameonewa. kwa hiyo mimi naona kwa maoni yangu hawa tuwachukulie kama walemavu, naomba sana nisionekane kama na mimi ni mdau bali tuone hii kama ni changamoto, kwa sababu mimi nimewahi kushuhudia mke wa mtu anatoka nje ili akaliwe tigo sababu tu mume wake haelewi kitu hata kama akiwekewa.
 
ngoma imeshasainiwa hiyo tayari.
Museveni signs anti-gay bill.jpg
 
Ugandan President Yoweri Museveni signs anti-gay bill

The BBC's Catherine Byaruhanga:

Uganda's president has signed into law a bill toughening penalties for gay people and criminalising those who do not report them.
A government spokesman said President Yoweri Museveni wanted to assert Uganda's "independence in the face of Western pressure".
US President Barack Obama has cautioned the bill would be a backward step.
Mr Museveni had previously agreed to put the bill on hold pending US scientific advice.
Homosexual acts are already illegal in Uganda.

In December, a gay rights campaigner spoke of her fears about the legislation.

The new law punishes first-time offenders with 14 years in jail, and allows life imprisonment as the penalty for acts of "aggravated homosexuality".

It also makes it a crime not to report gay people - in effect making it impossible to live as openly gay.

It criminalises the "promotion" and even the mere "recognition" of homosexual relations "through or with the support of any government entity in Uganda or any other non-governmental organisation inside or outside the country".
Lesbians are covered by the bill for the first time.

Gay activists say they will challenge the new laws in court.

The bill originally proposed the death penalty for some homosexual acts, but that was later removed amid international criticism.

'Very scared' According to the Associated Press news agency, government officials clapped after Mr Museveni signed the bill at a press conference at State House.

The BBC's Catherine Byaruhanga in Uganda says it is rare for the president to assent to bills so publicly.
But the anti-gay bill has become so controversial that the media were invited to witness its signing, she says.

Source: BBC News - Home
 
Hongera Uganda, hongera bunge la uganda na hongera kubwa kwa Rais Mseven, hakika umeuonyesha ulimwengu kuwa Afrika inaweza jiamulia maamuzi yake. Natumaini Mwenyezi Mungu atazidi kukubariki wewe na taifa lako.
 
Kwani ushoga kauleta JK? Si ni kiherehere cha wachache wanaotaka sasa iweje yeye abebe lawama. Hata hiyo sheria huko Uganda usitegemee hiyo sheria kuondoa ushoga!Hafu acheni kuilaumu serikali kwa mambo ambayo hayana msingi. Mfano wewe mwanao akiacha kusoma shule kwa makusudi utamlaumu JK au Pinda?

Aliulizwa swali kuhusu ushoga na Amanpour wa CNN akawa anajichekeshachekesha tu!
 
Ni bora alivyowajibu, ukweli ni kuwa mashoga Tanzania wapo hivyo wenye lawama ni jamii yenyewe haswa wazazi. Iweje wewe uzae mtoto akiwa rijali hafu akue awe shoga? Wazazi wanashindaje kufauatilia mienendo ya watoto wao? Hapo tunataka kuilaumu serikali?

Aliulizwa swali kuhusu ushoga na Amanpour wa CNN akawa anajichekeshachekesha tu!
 
091218102329_uganda_house_bbc_466.jpg

waandamanaji wanaounga mkono haki za watu wa jinsia moja nchini Uganda.

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametia saini mswada wenye utata unaotoa adhabu kali kwa watakaopatikana wakishiriki mapenzi ya jinsia moja.

Rais Museveni alitia saini mswada huo nyumbani kwake katika hafla iliyoshuhudiwa na maafisa wakuu wa serikali pamoja na wandishi wa habari.
Adhabu ya maisha jela itatolea kwa watu watakaopatikana na hatia ya kushiriki mapenzi ya jinsia moja zaidi ya mara moja kati ya watu wawili waliokubaliana kufanya hivyo.Mswada huo ambao sasa utakuwa sheria, unatoa adhabu ya kifungo cha miaka 14 jela kwa wale watakaopatikana na hatia kwa mara ya kwanza,
Adhabu hiyo pia itatolewa kwa wale wanaopatikana na hatia ya kuwahusisha watoto katika vitendo hivyo, walemavu au kumuambikiza mtu virusi vya Ukimwi.

Source : BBC swahili
 
Attachments

  • 131220174850_uganda_gay_304x171_afp_nocredit.jpg
    131220174850_uganda_gay_304x171_afp_nocredit.jpg
    8 KB · Views: 149
Rais wa Uganda amepitisha muswada kwa watakaopatikana kushiriki mapenzi ya jinsia moja mswada huo utapitishwa kuwa sheria na kifungo ni hadi siku 14, je hapa kwetu mkulu jk anaweza fanya haya maamuzi magumu bila kuogopa msimamo wa mataifa makubwa kama marekani inayounga mkono huu upuuzi viva General MUSEVENI
 
Amesema anus is not engineered for sex, sawa.
How about the mouth!?, is it engineered for sex?

Watu siku hizi wanafanya mapenzi ya mdomo, mtu anaweka uume mdomoni mwa partiner wake hadi anafika mshindo, na hawa nao wafungwe maisha jela?

Ofcourse vitu vingine ni ushamba tu na ujinga, but Mseven is no body's fool, Kama Mugabe, naye ameshasoma saikolojia ya waafrika, pinga ushoga, piga marufuku nguo fupi, you win Africans, ni matumaini yangu kuwa hili litamsaidia sana Museven kurejea madarakani tena,

Baada ya muhula kuisha tutawauliza waganda kufunga mashoga kumewatatulia matatizo yao ya kukithiri kwa umasikini, mfumuko wa bei,
na ukosefu wa huduma bora za afya na elimu.
 
Ni bora alivyowajibu, ukweli ni kuwa mashoga Tanzania wapo hivyo wenye lawama ni jamii yenyewe haswa wazazi. Iweje wewe uzae mtoto akiwa rijali hafu akue awe shoga? Wazazi wanashindaje kufauatilia mienendo ya watoto wao? Hapo tunataka kuilaumu serikali?
Mimi nakubaliana na Kikwete, ni suala la muda tu, maana hata kwenye suala la haki sawa na wanawake mliona ni kitu cha ajabu, lakini sasa mnaona ni haki.
 
Museveni Leo amesaini sheria Mpya ya kuutokomeza kabisa ushoga nchini Uganda, kwa hili nakusifu Sana mdogo wa Mugabe! Tanzania tujifunze kupitia wenzetu!! Say no to anal sex

....SAFI SANA RAIS WA UGANDA.
.USHOGA 'STOP' UGANDA: Rais Yoweri Musuveni asaini mswada wa sheria inayoharamisha mapenzi ya jinsia moja, sheria yatoa adhabu kali ikiwemo kifungo cha maisha.
 
teh....teh....teh.....teh.....teh..... mimi bado sina jibu la moja kwa moja kwa sababu nafahamu kuwa wazungu ni watu wenye akili sana, sasa ni kwa nini wanahamasisha jambo hili bado najiuliza, lakini pia nafahamu kuwa kuna wanawake ukipiga nao mechi wanakupa na upande wa pili ndiyo wanaridhika, na kuna wanaume wapo tayari hata kuhonga pesa ili wakaliwe tigo, tena wengine ni matajiri, wengine ni wasomi, wengine ni watu wenye madaraka makubwa wengine ni watu wenye nguvu ambao huwezi kusema wameonewa. kwa hiyo mimi naona kwa maoni yangu hawa tuwachukulie kama walemavu, naomba sana nisionekane kama na mimi ni mdau bali tuone hii kama ni changamoto, kwa sababu mimi nimewahi kushuhudia mke wa mtu anatoka nje ili akaliwe tigo sababu tu mume wake haelewi kitu hata kama akiwekewa.

Umeeleweka mbona,pole kwa hilo la Museveni!!!!
 
Inapendeza kusikia uamumzi kama huo tena baada ya kufuata ushauri wa kina wa kitafiti juu ya ushoga na asili yake.
 
Amesema anus is not engineered for sex, sawa.
How about the mouth!?, is it engineered for sex?

Watu siku hizi wanafanya mapenzi ya mdomo, mtu anaweka uume mdomoni mwa partiner wake hadi anafika mshindo, na hawa nao wafungwe maisha jela?

Ofcourse vitu vingine ni ushamba tu na ujinga, but Mseven is no body's fool, Kama Mugabe, naye ameshasoma saikolojia ya waafrika, pinga ushoga, piga marufuku nguo fupi, you win Africans, ni matumaini yangu kuwa hili litamsaidia sana Museven kurejea madarakani tena,

Baada ya muhula kuisha tutawauliza waganda kufunga mashoga kumewatatulia matatizo yao ya kukithiri kwa umasikini, mfumuko wa bei,
na ukosefu wa huduma bora za afya na elimu.

Kwa hiyo angekubaliana na ushoga ndio umasikini ungeisha,mfumuko wa bei ungepungua,huduma za afya na elimu zingeboreka????!!!!!

Sikujua kama mashoga wako wengi kiasi hiki!!!!!!!
 
Mimi nakubaliana na Kikwete, ni suala la muda tu, maana hata kwenye suala la haki sawa na wanawake mliona ni kitu cha ajabu, lakini sasa mnaona ni haki.
Haki zako sawa na wanawake zipi???!!!!
Kwa hiyo unasubiri muda "haki" zitambuliwe au???!!!!

Usilalamike sana wakati unasubiri muda nenda ambako tayari zinatambuliwa!!!!!
 
Kwa hiyo angekubaliana na ushoga ndio umasikini ungeisha,mfumuko wa bei ungepungua,huduma za afya na elimu zingeboreka????!!!!!

Sikujua kama mashoga wako wengi kiasi hiki!!!!!!!
Ndiyo!!,
Badala ya kusaini sheria ya kufunga jela maisha watu walioamua kutumia viungo vyao vya nyuma kujistarehesha,
angesaini sheria ya kifungo cha maisha kwa wezi wa mali za umma na mafisadi, huduma za afya na elimu zingeimarika.
 
Haki zako sawa na wanawake zipi???!!!!
Kwa hiyo unasubiri muda "haki" zitambuliwe au???!!!!

Usilalamike sana wakati unasubiri muda nenda ambako tayari zinatambuliwa!!!!!
Nilimaanisha "women empowerment", africans waliona ni kitu cha ajabu sana, lakini sasa hivi akina OLESAIDIMU wakiambiwa haki za wanawake wala hawashtuki, hata ushoga ni hivyo, its just a matter of time.
 
Ndiyo!!,
Badala ya kusaini sheria ya kufunga jela maisha watu walioamua kutumia viungo vyao vya nyuma kujistarehesha,
angesaini sheria ya kifungo cha maisha kwa wezi wa mali za umma na mafisadi, huduma za afya na elimu zingeimarika.

Kwani adhabu ya hao unaowataja ikoje mpaka uone mashoga wanaonewa????!!!!
 
Back
Top Bottom