Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Si kweli kwamba mambo ya wamarekani hayakuhusu!!..... Yanakuhusu sana kwani kuna mikataba mingi ya uwekezaji tumeingia nao, kuna mambo ya misaada na uhisani na mengineyo, yote haya huwa yanakuwa affected/effected na mtu atakaechaguliwa kama rsisi huko marekani!Labda wewe ndio unamchukia Trump. Mimi simchukii yeyote kati ya wagombea uchaguzi kwani mambo ya wamarekani hayanihusu wakiamua kumchagua yoyote kati ya wanaogombea sawa tu.
Kamanda kwani hawa wapendwa huwajui? Waache kama walivyo utawaweza wap wewe watu walikuwa wanapika na kupakua pamoja, we tuliaSijaona kosa lake!
Ni fahari kuwa Mwafrica lakini ni fedheha kuwa na akili za akiafricaWakati mashine ya kutibu cancer kwa njia ya mionzi ikiwa imeharibika kwenye hospitali kuu nchini Uganda na kusababisha wagonjwa zaidi ya mia mbili kukosa tiba kila mwezi, Museveni ametumia Shilingi bilioni 15 kwa siku moja tu kwenye sherehe za kumpongeza kwa kuchaguliwa tena kuwa rais wa nchi hiyo
Awali mashine hiyo iliyokuwa iliharibika mara kwa mara ilipigwa marufuku kutumika na kamati ya baraza la nyuklia duniani kutokana na madhara yake kwa mafundi na wa wagonjwa
Kwasasa inadaiwa nchi haina fedha na itabidi kusubiri si chini ya miaka miwili kuweza kupata mashine nyingine
Wakati mashine ya kutibu cancer kwa njia ya mionzi ikiwa imeharibika kwenye hospitali kuu nchini Uganda na kusababisha wagonjwa zaidi ya mia mbili kukosa tiba kila mwezi, Museveni ametumia Shilingi bilioni 15 kwa siku moja tu kwenye sherehe za kumpongeza kwa kuchaguliwa tena kuwa rais wa nchi hiyo
Awali mashine hiyo iliyokuwa iliharibika mara kwa mara ilipigwa marufuku kutumika na kamati ya baraza la nyuklia duniani kutokana na madhara yake kwa mafundi na wa wagonjwa
Kwasasa inadaiwa nchi haina fedha na itabidi kusubiri si chini ya miaka miwili kuweza kupata mashine nyingine
Muongo huyo? Unanchekesha.
Argument yangu ni kutumia 15b kwa sherehe za kujipongeza huku kukiwa na tatizo kubwa kana hilo...kumbuka hiyo mashine ina zaidi ya miezi miwili sasa tangu iache kufanya kazi kabisaNi kweli hiyo mashine iliharibika tena beyond repair,lakini tayari serikali ya Uganda ilisha deposit 325,297 Euros (Shs 1.2bn) at IAEA.
alafu mkuu kuharibika kwa hiyo machine hakumaanishi watu ndio watakufa sasa cause there are other modalities of cancer treatment which are still available and they include chemotherapy, surgery, high dose of brachytherapy for treating cancer of the cervix and palliative care,so athari haziwezi kuwa kubwa kama vile media zinavyokurupuka na kumshambulia M7 utafkiri ameiharibu yeye.
Argument yangu ni kutumia 15b kwa sherehe za kujipongeza huku kukiwa na tatizo kubwa kana hilo...kumbuka hiyo mashine ina zaidi ya miezi miwili sasa tangu iache kufanya kazi kabisa
Tuwe wakweli hapa vipaumbele havikuzingatiwa
Hii yaweza kuwa taarifa mpya kwakweli ila sakata la hii mashine kuharibika lina wiki sasa na limejadiliwa kwa kina BBC na Deuch WelleMkuu ni wiki moja tu hadi sasa pale Mulabo hawatumii hii mashine kwasababu ya kuharibika na sio miezi miwili kama unavyosema hapo juu.
Kuhusu M7 kutumia 15b kufanya sherehe hiyo sio sahihi haswa kwa nchi maskini kama uganda,lakini nafkiri hilo ni swala lingine na kwa mtazamo wangu sidhani kama lina mahusiano na hili la mashine kwa kuwa ndani ya siku tatu za mwanzo tayari fedha zilishalipwa ni mashine tu inasubiriwa na serikali ya Uganda imeshawatengenezea wagonjwa utaratibu wa kuwapeleka nchi jirani iwapo kuna ulazima.
Duu kwakweli ilikuwa hoi mnoView attachment 337921
Kama unavyoiona hapo juu ni kweli hali yake ilikuwa siyo nzuri kwa muda mrefu lakini kuharibika kwake rasmi ni siku saba zilizopita.
Hainipunguzii chochote mana huna cha kunipaTeh teh teh nimekuzarau teh teh
Kaka huyo mama etu mchukulie poaHapana ngoja bilauri iitwe bilauri na si kikombe
Dah...mashine imepigwa plasta na sol tapes za kufa mtu.!!View attachment 337921
Kama unavyoiona hapo juu ni kweli hali yake ilikuwa siyo nzuri kwa muda mrefu lakini kuharibika kwake rasmi ni siku saba zilizopita.
Sawa na kumuacha mtoto kitandani anayeumwa kwa wiki kadhaa uende ukatumie pesa nyingi kwenye sherehe za birthdayHuyu kwa staili hii bomba la mafuta litapita Tz kweli.? Kwa alichokifanya haendani kabisa na Magu! This man is not serious with his people! Watu wanaangamia yeye anatumia mabilion kwenye sherehe ambayo haina manufaa kwa Taifa na watu wake
weka picha