Museveni's List of Properties and Abnormal Wealth Links

Nuru
Yes hii ndio kanuni ya utakatifu, ndio maana hata Ikulu yetu ni mahali patakatifu, hivyo aliyepo ikulu yetu anapaswa kuwa ni mtakatifu, na ndio maaa sisi wengine tunamuita mtukufu rais!.

Ili kupata uhalali wa kushughulikia utakatifu, kwanza lazima wewe mwenyewe uwe mtakatifu!, hivyo kufuatia Museveni kusimamia mchakato wa utakatifu wa Nyerere, sisi kwetu Museveni anapaswa kuwa mtakatifu, hata kama in reality kule kwao huyu ni shetani, lakini kwetu sisi huyu ni mtakatifu, kwa jinsi ile ile wakati sisi Watanzania kuna watu wanalia na Magufuli, watu wanapigwa risasi 38 mchana kweupe!, miili ya watu inaopolewa kwenye viroba!, watu wanapotea katika mazingira ya kutatanisha, kina Ben Saanane, Azory Gwanda na wengineo!, vifo vya kikatili vya ajabu kama kifo cha kamanda Mawazo!, etc, etc, lakini kuna wenzetu wanatulilia tuwaazime Magufuli wetu awanyooshe hata kwa mwaka mmoja tuu utawatosha!.

P.
Nuru gizani...
 
Wajameni, this is just too good to be true!.
Sisi wenye jicho la tatu, pia tuna sikio la tatu, hivyo kuna vitu ukisikia, unajiuliza could it be true?, and then, you listen to yourself, the voices from within ndio inakupa jibu kuwa huu ni uongo!, ndipo unatoa taarifa ya this is too good to be true.

Pia kwa vile ni rais Museveni ndie anayesimamia mchakato wa kumtangaza Baba wa Taifa kuwa Mwenye Heri, ambayo ni hatua moja kabla mtu hajatangazwa, Mtakatifu.

Haiwezekani mtu anayesimamia mtu mwingine awe Mtakatifu, halafu yeye asiwe Mtakatifu!, hivyo natoa wito kwa sisi Wa Tanzania tusiiamini video hii.

Museveni, Mugabe na Kagame ndio ma.role model wangu wa African Democracy ndio maana nikatoa ushauri huu ili rais Magufuli apate muda wa kutosha kama hawa.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForums

P
Umeanza kuongea kifalsafa zaidi, kuitwa bungeni sio mchezo mkuu hahaaa...ila hongera, kwa namna hii ndugai haweza kukuilewa wala kukuita tena. Ujumbe murua kabisa!
 
Yes hii ndio kanuni ya utakatifu, ndio maana hata Ikulu yetu ni mahali patakatifu, hivyo aliyepo ikulu yetu anapaswa kuwa ni mtakatifu, na ndio maaa sisi wengine tunamuita mtukufu rais!.

Ili kupata uhalali wa kushughulikia utakatifu, kwanza lazima wewe mwenyewe uwe mtakatifu!, hivyo kufuatia Museveni kusimamia mchakato wa utakatifu wa Nyerere, sisi kwetu Museveni anapaswa kuwa mtakatifu, hata kama in reality kule kwao huyu ni shetani, lakini kwetu sisi huyu ni mtakatifu, kwa jinsi ile ile wakati sisi Watanzania kuna watu wanalia na Magufuli, watu wanapigwa risasi 38 mchana kweupe!, miili ya watu inaopolewa kwenye viroba!, watu wanapotea katika mazingira ya kutatanisha, kina Ben Saanane, Azory Gwanda na wengineo!, vifo vya kikatili vya ajabu kama kifo cha kamanda Mawazo!, etc, etc, lakini kuna wenzetu wanatulilia tuwaazime Magufuli wetu awanyooshe hata kwa mwaka mmoja tuu utawatosha!.

P.
No noh noh!!! Sio kweli hata kidogo

A true leader is meant to serve his/her people. Yani yeye ni mtumishi wa watu.

Halafu Museveni kushugulikia mchakato wa Nyerere kuitwa mtakatifu inawezekana ikawa for his personal reasons...usisahau kwamba Museveni na familia yake walishawahi kuishi Tz in the past.

Ila nimependa tu hapo uliposema "ndio maana sisi wengine tunamuita mtukufu rais" [emoji22]
 
Kweli alieshiba hamjui mwenye njaa.

Back
Top Bottom