MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Huwezi kujiita poppy ukawa na akili. Yule fala musiba alikuwa kachero gani? Kachero kwenye matusi? Sasa kama ni kweli alikuwa kachero ikawaje mahakama ikamtia hatiani? Unatumia ubongo gani kufikiri ewe sukuma gang? Mwache arudi kijijini akalime mpunga majarubani huko!Magazeti ya Tanzanite nilikuwa kila siku nayapitia with a magnifying glass.
Mahakama imejiaibisha na hukumu hii.Huwezi kujiita poppy ukawa na akili. Yule fala musiba alikuwa kachero gani? Kachero kwenye matusi? Sasa kama ni kweli alikuwa kachero ikawaje mahakama ikamtia hatiani? Unatumia ubongo gani kufikiri ewe sukuma gang? Mwache arudi kijijini akalime mpunga majarubani huko!
Membe analazimisha uadilifu wakati yako madai wazi dhidi yake hakuwahi kuyatolea mashaka kwa watu.Ni vizuri kama hao watu wangepatana, kwa sababu they are on the same side. Inaoŋyesha kwamba makachero wanagombana wenyewe kwa wenyewe.
Mimi napinga hili ambalo naliona kama jaribio la kuwatisha whistleblowers. It is an attempt to frighten the public. Halafu it is not clear who exactly it is meant to frighten.
Musiba hajawahi kumsingizia mtu yoyote. Watu wanatumia influence yao katika mahakama kuwatisha raia.
Watu wanataka kuibinafsisha nchi sasa baada ya Magufuli kufariki.
Nasema wajirekebishe upesi before the window of opportunity closes.
They want to expropriate a whole nation.
Taifa limeingia katika ujinga mkubwa. Watu waliopata ajira kwa kutoa rushwa ya ngono,wanaitwa vinara wa ushoga.
Kwa hiyo sasa taifa limeingia katika frenzy ya watu kukashifiana,kuchafuliana majina.
Hebu tuwe serious. Yule Membe alipokuwa waziri analipwa shilingi ngapi sijui kwa mwezi:sijui milioni tano,sijui milioni kumi. Sasa asipotumia hizo hela hata senti tano,inamchukua muda gani kuamass shilingi bilioni tisa?
Kwa sababu thamani ya mtu ni mshahara wake. Thamani unaicalculate vipi? Mshahara wa mtu ndio thamani yake.
Kwahiyo mlijimwambafy kwa kujua hamtafanywa chochote na hata ikitokea sponsa kafa na kesi iko mahakamani Basi kesi itakaa zaidi ya miaka 30 sio.?Yanawezekana?, kibaya ni kwa mahakama kuwa chombo cha kulipiza kisasi.
Nauliza tu, kuna kesi ngapi za madai ambazo zishafika miaka zaidi ya , mathlani 30? ambazo zimepewa uzito na Mahakama kutoa amri kama ilivyotokea?
EAC, wapo wanotafuta haki zao, Mahakama zimeshafanya uwepesi kama huo? Ni maswali tu
Membe hakuwa na ukachero wowote.Ni vizuri kama hao watu wangepatana, kwa sababu they are on the same side. Inaoŋyesha kwamba makachero wanagombana wenyewe kwa wenyewe.
Mimi napinga hili ambalo naliona kama jaribio la kuwatisha whistleblowers. It is an attempt to frighten the public. Halafu it is not clear who exactly it is meant to frighten.
Musiba hajawahi kumsingizia mtu yoyote. Watu wanatumia influence yao katika mahakama kuwatisha raia.
Watu wanataka kuibinafsisha nchi sasa baada ya Magufuli kufariki.
Nasema wajirekebishe upesi before the window of opportunity closes.
They want to expropriate a whole nation.
Taifa limeingia katika ujinga mkubwa. Watu waliopata ajira kwa kutoa rushwa ya ngono,wanaitwa vinara wa ushoga.
Kwa hiyo sasa taifa limeingia katika frenzy ya watu kukashifiana,kuchafuliana majina.
Hebu tuwe serious. Yule Membe alipokuwa waziri analipwa shilingi ngapi sijui kwa mwezi:sijui milioni tano,sijui milioni kumi. Sasa asipotumia hizo hela hata senti tano,inamchukua muda gani kuamass shilingi bilioni tisa?
Kwa sababu thamani ya mtu ni mshahara wake. Thamani unaicalculate vipi? Mshahara wa mtu ndio thamani yake.
Tapeli la mtaani linapataje habari za kikachero? BM karanga ili takataka ili yale chawa mainformers nayo yakome.Ni vizuri kama hao watu wangepatana, kwa sababu they are on the same side. Inaoŋyesha kwamba makachero wanagombana wenyewe kwa wenyewe.
Mimi napinga hili ambalo naliona kama jaribio la kuwatisha whistleblowers. It is an attempt to frighten the public. Halafu it is not clear who exactly it is meant to frighten.
Musiba hajawahi kumsingizia mtu yoyote. Watu wanatumia influence yao katika mahakama kuwatisha raia.
Watu wanataka kuibinafsisha nchi sasa baada ya Magufuli kufariki.
Nasema wajirekebishe upesi before the window of opportunity closes.
They want to expropriate a whole nation.
Taifa limeingia katika ujinga mkubwa. Watu waliopata ajira kwa kutoa rushwa ya ngono,wanaitwa vinara wa ushoga.
Kwa hiyo sasa taifa limeingia katika frenzy ya watu kukashifiana,kuchafuliana majina.
Hebu tuwe serious. Yule Membe alipokuwa waziri analipwa shilingi ngapi sijui kwa mwezi:sijui milioni tano,sijui milioni kumi. Sasa asipotumia hizo hela hata senti tano,inamchukua muda gani kuamass shilingi bilioni tisa?
Kwa sababu thamani ya mtu ni mshahara wake. Thamani unaicalculate vipi? Mshahara wa mtu ndio thamani yake.
Tena ikiwezekana Membe na Fatma Karume waungane wampeleke Musiba jela na wamlipie kukaa kule kifungoni!! Hili litakuwa fundisho kwa machawa wengine huku mtaani.Acha kutetea ujinga. Huyo Musiba acha avune alichopanda na liwe fundisho kwa wajinga wenzake wanaotumika vibaya