Musiba alikuwa anapata habari za kikachero na Membe ni kachero, sasa wanagombana nini?

Magazeti ya Tanzanite nilikuwa kila siku nayapitia with a magnifying glass.
Huwezi kujiita poppy ukawa na akili. Yule fala musiba alikuwa kachero gani? Kachero kwenye matusi? Sasa kama ni kweli alikuwa kachero ikawaje mahakama ikamtia hatiani? Unatumia ubongo gani kufikiri ewe sukuma gang? Mwache arudi kijijini akalime mpunga majarubani huko!
 
Musiba alikuwa na Habari gani za kikachero yule? We unaona kulikuwa na ukachero pale au ujinga na kubebwa?

Lipeni hela za watu na mkome ujinga
 
Huwezi kujiita poppy ukawa na akili. Yule fala musiba alikuwa kachero gani? Kachero kwenye matusi? Sasa kama ni kweli alikuwa kachero ikawaje mahakama ikamtia hatiani? Unatumia ubongo gani kufikiri ewe sukuma gang? Mwache arudi kijijini akalime mpunga majarubani huko!
Mahakama imejiaibisha na hukumu hii.
 
Ni vizuri kama hao watu wangepatana, kwa sababu they are on the same side. Inaoŋyesha kwamba makachero wanagombana wenyewe kwa wenyewe.

Mimi napinga hili ambalo naliona kama jaribio la kuwatisha whistleblowers. It is an attempt to frighten the public. Halafu it is not clear who exactly it is meant to frighten.

Musiba hajawahi kumsingizia mtu yoyote. Watu wanatumia influence yao katika mahakama kuwatisha raia.
Watu wanataka kuibinafsisha nchi sasa baada ya Magufuli kufariki.
Nasema wajirekebishe upesi before the window of opportunity closes.
They want to expropriate a whole nation.
Taifa limeingia katika ujinga mkubwa. Watu waliopata ajira kwa kutoa rushwa ya ngono,wanaitwa vinara wa ushoga.
Kwa hiyo sasa taifa limeingia katika frenzy ya watu kukashifiana,kuchafuliana majina.
Hebu tuwe serious. Yule Membe alipokuwa waziri analipwa shilingi ngapi sijui kwa mwezi:sijui milioni tano,sijui milioni kumi. Sasa asipotumia hizo hela hata senti tano,inamchukua muda gani kuamass shilingi bilioni tisa?
Kwa sababu thamani ya mtu ni mshahara wake. Thamani unaicalculate vipi? Mshahara wa mtu ndio thamani yake.
Membe analazimisha uadilifu wakati yako madai wazi dhidi yake hakuwahi kuyatolea mashaka kwa watu.
Kwanza kuna madai ya yeye kwamba alipora hela zilizotolewa na khadaffi kujenga kiwanda cha cement lindi kwa kushirikiana na wafanyabiashara fulani kisha akajenga hoteli yake binafsi lindi. Na kuna mengi musiba alimshutumu kupanga dhidi ya magufuli. Alikua miongoni mwa wale 'gang of four' waliyokua wanamsengenya na kumtukana na kumdharau magufuli. Pia tusisahau dharau na jeuri aliyofanya kwa kudharau alivyotakiwa kujieleza na chama cha ccm kisha akakataa kuomba msamaha hadi kufukuzwa chama. Wenzake wakiomba msamaha japo wsmekuja kuonyesha unafiki mkubwa kwa kufurahia kufa magufuli.
Membe asijidai ameshinda kesi ya madai dhidi ya musiba. Kila mtanzania anajua hali ya nchi hii kuhusu haki imerudia kama awamu ya nne. Haki inaweza kununuliwa.
Kwanza membe anaonyesha udhaifu mkubwa kama kiongozi. Ni mtu mwenye majivuno na kisasi. Ukiwa mwanasiasi kila lawama uwe tayari kukabiliana nayo maana ndio uongozi..
 
Yanawezekana?, kibaya ni kwa mahakama kuwa chombo cha kulipiza kisasi.

Nauliza tu, kuna kesi ngapi za madai ambazo zishafika miaka zaidi ya , mathlani 30? ambazo zimepewa uzito na Mahakama kutoa amri kama ilivyotokea?

EAC, wapo wanotafuta haki zao, Mahakama zimeshafanya uwepesi kama huo? Ni maswali tu
Kwahiyo mlijimwambafy kwa kujua hamtafanywa chochote na hata ikitokea sponsa kafa na kesi iko mahakamani Basi kesi itakaa zaidi ya miaka 30 sio.?
MMEDANDIA MTUMBWI WA VIBWENGO. MANDONGA MTU KAZ.
 
Ni vizuri kama hao watu wangepatana, kwa sababu they are on the same side. Inaoŋyesha kwamba makachero wanagombana wenyewe kwa wenyewe.

Mimi napinga hili ambalo naliona kama jaribio la kuwatisha whistleblowers. It is an attempt to frighten the public. Halafu it is not clear who exactly it is meant to frighten.

Musiba hajawahi kumsingizia mtu yoyote. Watu wanatumia influence yao katika mahakama kuwatisha raia.
Watu wanataka kuibinafsisha nchi sasa baada ya Magufuli kufariki.
Nasema wajirekebishe upesi before the window of opportunity closes.
They want to expropriate a whole nation.
Taifa limeingia katika ujinga mkubwa. Watu waliopata ajira kwa kutoa rushwa ya ngono,wanaitwa vinara wa ushoga.
Kwa hiyo sasa taifa limeingia katika frenzy ya watu kukashifiana,kuchafuliana majina.
Hebu tuwe serious. Yule Membe alipokuwa waziri analipwa shilingi ngapi sijui kwa mwezi:sijui milioni tano,sijui milioni kumi. Sasa asipotumia hizo hela hata senti tano,inamchukua muda gani kuamass shilingi bilioni tisa?
Kwa sababu thamani ya mtu ni mshahara wake. Thamani unaicalculate vipi? Mshahara wa mtu ndio thamani yake.
Membe hakuwa na ukachero wowote.

Wamemdukua kwenye simu anamsema Rais halafu analalamika wamemdukua.

Everybody and their grandmother knows that ukitaka kuongea ya siri tumia Whatsap kwa sababu ni encrypted. Kampuni ya Whatsapp wenyewe hawawezi kusoma message au kusikiliza au kurekodi simu zako. END TO END ENCRYPTION.

Eti akategemea kubebwa na CV ya ukachero kugombea Urais. Kachero gani hajui mitandao ya mawasiliano ambayo ni encrypted ?
 
Ni vizuri kama hao watu wangepatana, kwa sababu they are on the same side. Inaoŋyesha kwamba makachero wanagombana wenyewe kwa wenyewe.

Mimi napinga hili ambalo naliona kama jaribio la kuwatisha whistleblowers. It is an attempt to frighten the public. Halafu it is not clear who exactly it is meant to frighten.

Musiba hajawahi kumsingizia mtu yoyote. Watu wanatumia influence yao katika mahakama kuwatisha raia.
Watu wanataka kuibinafsisha nchi sasa baada ya Magufuli kufariki.
Nasema wajirekebishe upesi before the window of opportunity closes.
They want to expropriate a whole nation.
Taifa limeingia katika ujinga mkubwa. Watu waliopata ajira kwa kutoa rushwa ya ngono,wanaitwa vinara wa ushoga.
Kwa hiyo sasa taifa limeingia katika frenzy ya watu kukashifiana,kuchafuliana majina.
Hebu tuwe serious. Yule Membe alipokuwa waziri analipwa shilingi ngapi sijui kwa mwezi:sijui milioni tano,sijui milioni kumi. Sasa asipotumia hizo hela hata senti tano,inamchukua muda gani kuamass shilingi bilioni tisa?
Kwa sababu thamani ya mtu ni mshahara wake. Thamani unaicalculate vipi? Mshahara wa mtu ndio thamani yake.
Tapeli la mtaani linapataje habari za kikachero? BM karanga ili takataka ili yale chawa mainformers nayo yakome.
 
Acha kutetea ujinga. Huyo Musiba acha avune alichopanda na liwe fundisho kwa wajinga wenzake wanaotumika vibaya
Tena ikiwezekana Membe na Fatma Karume waungane wampeleke Musiba jela na wamlipie kukaa kule kifungoni!! Hili litakuwa fundisho kwa machawa wengine huku mtaani.
 
Back
Top Bottom