Hapo utakuta kamejichanga Miezi 4 kufikisha hio Mil2. Wakati ni matumizi ya masaa tu inakatika.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Gooosh!Milioni 2 ndio mpaka aite Camera!
Kweli Musiba
Nadhan alipaswa amtumie tu kwenye tigo pesa kimyaa kimya!!
Kwa usawa huu unadharau 2M!!!Gooosh!Milioni 2 ndio mpaka aite Camera!
Kweli Musiba
Nadhan alipaswa amtumie tu kwenye tigo pesa kimyaa kimya!!
Ulihama chama cha mapinduzi?Huyu jamaa punguani kweli kweli.
Mimi ni CCM huyo ni punguani.Ulihama chama cha mapinduzi?
Usidharau Musiba anemtoa milioni 2 cash na amemuahidi kumlipa Beno mil. 13 pesa za usajili zilizobaki siku chache zijazoHapo utakuta kamejichanga Miezi 4 kufikisha hio Mil2. Wakati ni matumizi ya masaa tu inakatika.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Namsikitikia sana mke na watoto wake huyu Musiba. Utakuta anawaweka vikao kila siku akiwaeleza kuhusu watu anaohisi wanamfanyia hujuma JPM, na kuhusu katiba ibadilishwe kipengele cha Miaka 5 kwenda kwenye Miaka 7 ili JPM apige miaka 14 [emoji18] [emoji53]
Musiba ameahidi kumlipa Beno mil 13 pesa za usajili zilizobaki siku chache zijazoGooosh!Milioni 2 ndio mpaka aite Camera!
Kweli Musiba
Nadhan alipaswa amtumie tu kwenye tigo pesa kimyaa kimya!!
Kwanini sasa[emoji23] [emoji23]Mimi ni CCM huyo ni punguani.
Kumbe Musiba tajiri hiviUsidharau Musiba anemtoa milioni 2 cash na amemuahidi kumlipa Beno mil. 13 pesa za usajili zilizobaki siku chache zijazo
Ameahidi kutoa mil 13 kwa Beno pesa za usajili zilizobaki siku chache zijazoHuyu jamaa punguani kweli kweli.
Mbona alishawahi kugombea umakamu mwenyekiti Yanga kipindi Cha Manji Sema alikatwa jinaKumbe Musiba tajiri hivi
Anafanya hayo kama nani?
Bora umemtaja kwa cheo chake halisi.Mimi ni CCM huyo ni punguani.