Musiba ampa pesa kakolanya aahidi atampa na pesa ya usajili

Gooosh!Milioni 2 ndio mpaka aite Camera!
Kweli Musiba
Nadhan alipaswa amtumie tu kwenye tigo pesa kimyaa kimya!!
Hapo utakuta kamejichanga Miezi 4 kufikisha hio Mil2. Wakati ni matumizi ya masaa tu inakatika.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Namsikitikia sana mke na watoto wake huyu Musiba. Utakuta anawaweka vikao kila siku akiwaeleza kuhusu watu anaohisi wanamfanyia hujuma JPM, na kuhusu katiba ibadilishwe kipengele cha Miaka 5 kwenda kwenye Miaka 7 ili JPM apige miaka 14 [emoji18] [emoji53]
 
Kwa usawa huu unadharau 2M!!!

Acha dharau za kihindi
 
Hapo utakuta kamejichanga Miezi 4 kufikisha hio Mil2. Wakati ni matumizi ya masaa tu inakatika.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Namsikitikia sana mke na watoto wake huyu Musiba. Utakuta anawaweka vikao kila siku akiwaeleza kuhusu watu anaohisi wanamfanyia hujuma JPM, na kuhusu katiba ibadilishwe kipengele cha Miaka 5 kwenda kwenye Miaka 7 ili JPM apige miaka 14 [emoji18] [emoji53]
Usidharau Musiba anemtoa milioni 2 cash na amemuahidi kumlipa Beno mil. 13 pesa za usajili zilizobaki siku chache zijazo
 
Gooosh!Milioni 2 ndio mpaka aite Camera!
Kweli Musiba
Nadhan alipaswa amtumie tu kwenye tigo pesa kimyaa kimya!!
Musiba ameahidi kumlipa Beno mil 13 pesa za usajili zilizobaki siku chache zijazo
 
Usidharau Musiba anemtoa milioni 2 cash na amemuahidi kumlipa Beno mil. 13 pesa za usajili zilizobaki siku chache zijazo
Kumbe Musiba tajiri hivi

Anafanya hayo kama nani?
 
Back
Top Bottom